Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 10,767
- 2,544
Kuna hii biashara mpya ya vijana wapaka rangi kuongeza huduma. Zamani ilikuwa ni kupaka kucha rangi tu. Sasa hivi wanapakata miguu ya wanawake zetu eti wanaiosha kwanza.
Safari moja huanzisha nyingine. Hawa vijana watafungua vibanda kama wamasai na yatakayoendelea huko Mungu atajua. Kwa ninavyoelewa udhaifu wa wanawake na mahitaji yao ambayo hawatimiziwi ipasavyo, patachimbika.
Wanaume anzeni kuwakataza wenza wenu kusuguliwa miguu na hawa vijana kwani hatua itakayofuata hamtaipenda. Hajashindwa kujisugua mwenyewe