Wanaume wanaojitambua bado wapo

unaweza ukawa pia huelewi ukahisi unajitambua kumbe la,niambie kiwango cha kujitambua ni kipi?kama wewe ndo haujitambui unapima vipi?kama mmekutana wote wazinzi msiojitambua?mapenzi ni nini?unapimaje sifa ulizotoa kwamba ni mtu kujitambua?ilikuwa kuna haja ya kutaja ethnity?mkoa?

GENTLES DO KNOW WHAT TO DO AND STAY WITH BRIGHT LADIES

about kitandani,pesa that is between you two sawa we mvamiaji


yani hupati tabu kuwajua....
 
ndio nyie nyie tunaowasema..utawajua tu.....
Umetumia vigezo vipi ku-judge? badala ya kujaribu kuni prove wrong unaleta mjadala, nimejaribu kuonyesha weakness zako kutokana na unavoandika inaonyesha jinsi gani unagawa ovyo.. unaweza kuniprove wrong??
Sema lolote unalojisikia kusema about me ila najitambua mwenyewe vizuri mno sifanani na wewe hata kidogo..
 
Tatizo moja la huyu NAUREEN ni kwamba whoever goes against her yeye anasema ndio walewale ambao anawasema hawajitambui.. U must accept challenge siku zote, unaweza ukahisi uko right kumbe u r so wrong.. Afu u really give ur trust to people as easy as that, mwisho wa siku jamaa naye apige mishe wee then apotezee urudi huku JF na post mpya "hakuna mwanaume anayejitambua" I think wewe ndio hujitambui, u have failed to accept that the society is changing, and most people wither women or men wote wana change with it.. u are as bad as those guys coz umefunuafunua ovyo.. a true woman hafunui kijinga ka wewe..
 
Tatizo moja la huyu NAUREEN ni kwamba whoever goes against her yeye anasema ndio walewale ambao anawasema hawajitambui.. U must accept challenge siku zote, unaweza ukahisi uko right kumbe u r so wrong.. Afu u really give ur trust to people as easy as that, mwisho wa siku jamaa naye apige mishe wee then apotezee urudi huku JF na post mpya "hakuna mwanaume anayejitambua" I think wewe ndio hujitambui, u have failed to accept that the society is changing, and most people wither women or men wote wana change with it.. u are as bad as those guys coz umefunuafunua ovyo.. a true woman hafunui kijinga ka wewe..

sidhani kama hata anakuelewa,kapata a place ya ufuska wenyewe ndo anaclaim kujitambua huku akiremba thread tales na fake realities.
 
we ni kabaha cheap xse at work toa list na walio kuait ,unawaza kitandani huku hujui destiny na mapenzi ni nini,unaweza hamisha figo wewe??

kwani ni lazima umtukane mleta mada, kama huwezi kuchangia si ungenyamaza!
 
you have found the right guy, and you fell in love with him. End of story.
u dont have to diss other men
 
Nimekuwa nikikutana na wanaume ambao hawana heshima kwa wanawake hata umnyenyekee vipi..

na sio hivo tu bora basi hata kitandani awe vizuri hajui kitu,

Ila dharau na jeuri vimemjaa hana heshima kwa wanawake..

Maringo utadhani mwanamke,unamtumia msg hajibu,simu hapokei,..mimi nikadhani ndio wanaume tuliobakiwa nao huku duniani jamani kumbe nilikuwa najichelewesha..nimempata mwanaume aliekamilika wa kiarabu tena wa tanga..

Mwanaume anajua nini thamani ya mwanamke..japo sijui hata shilingi kumi yake lakini mapenzi anayonipa na heshima aliyonayo nipo radhi kwenda nae popote,na mwanaume mwenyewe hana umri mkubwa kiivo lakini anajitambua...

Ushauri kwa wanaume humu ndani...pesa ni chachu tu katika mapenzi ..

Wanawake tunapenda kuwa loved,handled and cared hayo mengine ni ya ziada tu.

Shida ni kwamba tunaishi kwa experience ambazo watu wametuumiza sana..

Ushauri kwa akina dada wenzangu using`ang`anie kwa mtu ambae unajua hakupi thamani yako wewe kama mwanamke ,achana na huyo mtu na usonge mbele hadi utakapompata yule ambae atakujali na kukuthamini.

wanaume kamili wapo achaneni na wanaume wasumbufu ambao wapo kuumiza tu watu hawajui duniani walikuja kwa lengo gani...ni ushauri tu ..epuka kuumizwa fanya maamuzi sahihi.

Asubuhi njema

hapo kwa red inawezekana mtoto wawatu umeumbika vizuri nyo na umebinuka balaaa ajee.. bahati mbaya ukakutana na vijamaa vinakulambalamba2 hupati utamu mpaka kwa moyo ati.......mwarabu wa Tanga si haba anatimba mpaka minikabaaang hongera bibie...
 
Hongera zako bado wapo ila kuwapata miaka hii ni nadra sana, hongera zako.

 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom