Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,612
wanawake wa tanzania huku tukiendelea na maadhimisho yetu
tukumbuke kuwa tupo na wanaume legelege kabisa.kwa iyo maisha yetu na ukombozi wa maisha yetu yapo mikononi mwetu wenyewe.hawa wenzetu tulio nao hawana nguvu yeyote ni mgonjwa tu aliyewekewa dripu na oxygen
hebu angalia-
1-watu wanakosa huduma muhimu ya afya ,wanakufa bila hatia eti madaktari wamegoma -chanzo mwanaume wa kitanzania
2-maisha magumu magumu-chanzo mwanaume wa kitanzania
3-vitu feki nchini eti tbs wana hadi ofisi korea-chanzo?
4-wizi epa radar -chanzo ?
5-soka kila siku tunafungwa hata na timu ya somalia-hao ni wanaume wa....?
6- endeleeni
yaani hamna siku wanatupa raha humu nchini hamna
tuungane wamama tuokoe taifa letu