Wanaume wa Tanzania ni legelege

Smile kwenye hiyo point ya 6,kama hujawahi pewa raha nitafute nikufikishe****
then hayo yote ulosema yapo kwa wanaume wa magamba hivyo naweza sema hata nyie mashosti ndio mmetufikisha hapa msinge chagua uzuri wa sura yasinge wakuta haya kwanza mwanaume hasifiwi sura sasa imekuaje mchague sura then sasa hivi mnalia???
 
Ahahahaa.Jamani mie mbona umenichekesha .Nimeenza kukupenda ghafla......
Ukitafakari sana kunaka ukweli fulani
 
wanawake wa tanzania huku tukiendelea na maadhimisho yetu
tukumbuke kuwa tupo na wanaume legelege kabisa.kwa iyo maisha yetu na ukombozi wa maisha yetu yapo mikononi mwetu wenyewe.hawa wenzetu tulio nao hawana nguvu yeyote ni mgonjwa tu aliyewekewa dripu na oxygen
hebu angalia-
1-watu wanakosa huduma muhimu ya afya ,wanakufa bila hatia eti madaktari wamegoma -chanzo mwanaume wa kitanzania
2-maisha magumu magumu-chanzo mwanaume wa kitanzania
3-vitu feki nchini eti tbs wana hadi ofisi korea-chanzo?
4-wizi epa radar -chanzo ?
5-soka kila siku tunafungwa hata na timu ya somalia-hao ni wanaume wa....?
6- endeleeni
Hebu tuondolee u.puuzi hapa.
Kama umeshindwa kuheshimu wanaume we endelea kivyako, au hamia Kenya. Usituletee mambo ya kike humu.
Pika, safisha nyumba, nifulie nguo zangu, nikande mgongo, tubiduane halfu ndiyo uende kwenye mikutano yenu. Na wanawake wa siku hizi ndio mko legelege sana, wavivu halafu mna mabwana kila kona. Heshimuni wanaume zenu.
Beside every strong man, there's a strong woman.. Be strong, acheni kulalamika na kutumia muda sebuleni kugombania remote na waume zenu. Hamna adabu kweli.
 
legelege ni yulw mama pale bungeni anayekataa hata kutoa miongozo,mwingine aliyekua katibu wizara ya afya
 
huyo kuku mtamu mnae.?hebu nenda ocean road uliza toka jana uje uniambie kama kunamwanaume nchi hii

Kwa hiyo nchi hii haina wanaume? Mbona wewe mtoto unakosa maadili huna baba wewe? Kwa mkutadha huo baba ako sio mwanaume? Muulize mama ako atakwambia bila baba ako mama ako mambo hayaendi sawa
 
Yaani we umeona kuharibu kwenye uspika tu! Si afadhali sie tumeangushwa na bi kiroboto peke yake nyie je? Tumewapa urais, uwaziri mkuu, u AG, u makamo wa rais etc pote mmeharibu!

Ukiorodheshewa nyadhifa mlizo bebwa wanawake mkawaangusha walio wabeba ni nyingi tuanze.
1. Waziri wa Fedha
2. Katibu wizara ya Afya
 
Ukiorodheshewa nyadhifa mlizo bebwa wanawake mkawaangusha walio wabeba ni nyingi tuanze.
1. Waziri wa Fedha
2. Katibu wizara ya Afya

We Fide180 bora tuuache huu ubishi maana mie nitakuambia tu kuwa tuliwaachia kuiongoza nchi hii miaka 50 iliyopita mmetufikisha wapi? Almost kila kitu kiko ovyo!
 
We Fide180 bora tuuache huu ubishi maana mie nitakuambia tu kuwa tuliwaachia kuiongoza nchi hii miaka 50 iliyopita mmetufikisha wapi? Almost kila kitu kiko ovyo!

Wanafanya hivyo kwa kushauliwa vibaya na wanawake
 
Akitajwa mwanamke namfikiria mamangu!akitajwa msichana nafikiria vicheche!much respect kwa wanawake wote duniani....much love!
 
Hahahahahaaaa, wanaume legelege hawapimi ushauri wanaopewa. Wao wanatekeleza tu kichwa kichwa.

Hahahahaha siku jamaa ako akipanda kifuani hebu mwombe kitu au mpe ushauri uone
Ndo ushauri huo hawa wanao bolonga wanaupata wakiwa kifuani
 
Hahahahaha siku jamaa ako akipanda kifuani hebu mwombe kitu au mpe ushauri uone
Ndo ushauri huo hawa wanao bolonga wanaupata wakiwa kifuani

Weee! Jamaa yangu sio legelege! Hata katika hali gani anapima ushauri kabla ya kuutekeleza.
 
Pole sana dadangu (Smile) kwa kutoka na mwanaume asiyekutimizia mahitaji yako ya msingi, hili liwe funzo kwa wengine ukitaka kutoka na mwanaume hakikisha hatakufanya uuone wanaume wote legelege, pole sana dear!
 
:lol::lol::lol: mwanaume wako ndo legelege dats why unpata nguvu mpaka yakutukana sisi wengine.......
 
Back
Top Bottom