ha ha....hata mimi nipo Nzega.....
Mbona sijakuona kwenye tohara...
nipo hapa....we upo pande ipi......?
Nzega hii hii...ili kuhakikisha hivi vidume vya hapa tunavifyeka kale kangozi
Mnavionea bure vidume vya watu,kwani wake zao wamelalamika..??
hiyo makitu mkuu ni uchafu halafu ni kichocheo cha magonjwa ya sehemu nyeti
hiyo makitu mkuu ni uchafu halafu ni kichocheo cha magonjwa ya sehemu nyeti