WANAUME vs WANAWAKE

nafikiri kuna majamvi mengi tu humu jamani ukiboreka au unataka kazi mbona yapo tu! kuna mwanaume amesema anapenda kutongoza kila siku nae mbona hamumshambulii? mwacheni naz wa watu ajimwage tehetehe! samahani kama nimewakwaza
Mleta mada,

Kuna kuongea na kuwaza, kuna rika watu wanajihusisha zaidi na sex hasa ma teenager hapo haijalishi dume au jike. Ukiwa responsible man huwezi kupata muda wakukaa na kudiscuss ngono huku umeme hakuna gesi hakuna, maji kwishne watoto wagonjwa mshahara kiduchu mtaa mchafu, foleni kubwa joto kaliii kijijini wanaomba ada uuuuh
 
Back
Top Bottom