tafuta mume uolewe, leo naona mihemko imekuzidia
Tafuta mume uolewe, leo naona mihemko imekuzidia
is this necessarry....?, mkuu usiwe mkali kwa dada yetu..... Comment nyingine zinaweza kumuharibia mtu siku.... Chiniese wanaamini.... "even butterflies flap can affect hurricane season"
wakimaanisha kwamba hasira zako kwa dada zinaweza zikamfanya nae apate hasira kwa mtu mwingine... Knock on effect before we know it jf nzina tunajibishana kwa hasira....
wanaume na wanawake wanafanana tabia,huoni humu kuna wanaume wana midomo mirefu wanawake hawaingii:car:
Tafuta mume uolewe, leo naona mihemko imekuzidia
wanaume na wanawake wanafanana tabia,huoni humu kuna wanaume wana midomo mirefu wanawake hawaingii:car:
teh!
nidai juis ya ukwaju...
wanaume na wanawake wanafanana tabia,huoni humu kuna wanaume wana midomo mirefu wanawake hawaingii:car:
shosti wewe!
sitaniwi Rose shauri yako
Du!! Kakukosea nini???Tafuta mume uolewe, leo naona mihemko imekuzidia
ahhh we sema tu upo wap sangap
deliverance at ya do.