Wanaume TZ Kufanyiwa kama wakenya

Mmmhhh Nata usinitafutie ugomvi na wanaume wa humu Tanzania nzima mmmhh hapana kwa wale niliowahi kukutana nao sikusema idadi ya watz wote. Labda niongeze tu nimewahi kutana na makabila tofauti sijafanikiwa kuona
Je dada,unaweza kukadiria wanaume ambao ushakuwa nao kabla ya kuolewa?Mi nina gf hapa nataka niweke ndani.
 
Ukiona mwanamke anasema amekutana na wanaume wengi ujue ni uongo......wanawake wengi waliokutana na wanaume wengi huwa wanaficha......
 
Aisee Watanzania kweli mataahira.Mtu unadhalilishwa halafu unakenua!Uwezo wetu wa kufikiri ni mdogo sana.

Dada/Kaka Tikerra,
Uwezo wa kufikiri unaouongelea hapa generally hapa ni wa wewe na nani? Naamini kabisa 'Thinking capacity' inatofautiana kati ya mtu na mtu, huwezi kuweka jumla jumla namna hiyo na kuita wenzako mataahira. Sio kila mtu anaushangilia mpango hio wa tohara, kwa sababu kila watu wana utaratibu wao wa maisha. Mind your language and beg for apology!
 
naomba kuuliza kutahiriwa ni usafi,mila au dini? manake huku umangani wanaume wengi hawajatahiriwa kabisa wanasema hilo ni suala la dini au uamuzi wa mtu.Mfano mzuri kuna kipindi cha TV hapa UK kinaitwa SEX EDUCATION IN SCHOOL versus PONOGRAPHY huwa kinaonyesha live wanaume au wasichana wakiwa uchi huku wanafunzi wakiwastudy maumbile yao kama sehemu ya kujielewa,tangu nimeanza kukiangalia sijaona waliotahiriwa kati ya wanaonyeshwa.kwa walio Norway kinaonyeshwa kupitia VIASAT CHAN 3 kila alhamisi 22:30 usiku au wanaotumia canal digital.kwa wanaotumia DSTV sijui kinapatikana chan gani sasa kama hawa wenzetu wazungu tunaodhani wamestaarabika zaidi hawatahiriwi sisi tunatahiri ili iweje kwani wao hawana ukimwi?sidhani kama kweli kutahiri kutapunguza maambukizi ya ukimwi kama hatutabadili tabia za ngono zembe.

Huku Africa, Hii inaitwa ULAJI - Pesa imeshapatikana kwa hiyo lazima Pesa itumike! Watatahiri hata Mbwa ili ku-justify matumizi ya Pesa za DONOR! And then UKIMWI utaendelee kutuua kama kumbikumbi!
 
Unaishi Tanzania nayoijua mimi au waishi wapi wewe????

Mie dada nadhani Tanzania huifahamu kabisa, Kwa kawaida watu wanaotahiriwa ni wa kutoka Mikoa ya Pwani tu. Lakini Bara mfano mikoa ya Kanda ya Ziwa na Kanda ya Magharibi hawana Utamaduni huo, Ila kwa sasa kwa watoto wanaozaliwa wazazi hasa waishiomijini ndo wanawatahiri watoto, Lakini Vijijini hakuna hiyo kitu. Tanzania ni Kubwa sana Dada.
 
anayeshangaa kutotailiwa kwa wanaume ana haki ya kuuliza hivyo maana makabila mengine hasa yenye wakristo wengi huwa hawatahiliwi, hata hivyo na mie nilitahiliwa nikiwa na miaka 19 ukubwani, kutailiwa kunapunguza ladha ya sex ingawaje kuna magonjwa nyemelezi haya ndio yanayoharibu, kama yasingekuwepo hakuna haja ya kutairiwa , ambaye hajatahiriwa hana haja ya kunywa dawa ya kuongeza nguvu za kiume, ukitaka jua nenda uganda, Rwanda burundi na Bk wananguvu balaa, wengi waliotahiliwa wanafanya hivyo kwa sababu zao za kula mabo fulani (yaani kinyume na maumbile hasa kwa watu wa pwani kwani kwa makabila mengine ni vigumu kutokana na kutotahiliwa
 
Mchokozi kidogo kwani eti hawajatahiriwa mmmmmhhh sijawahi kutana na mwanaume wa hivyo wakati nikiwa msichana

Mi nlisha wahi kukutana naye, alikuwa analazimisha tuzime taa, nikakataa kata kata, kumbe anaogopa nisione nyama uzembe yake
 
Leo hasubuhi nimesikia wanaume wa Tanzania wameanza kutairiwa ili kupunguza maambukizi ya ukimwi.

Hii campaign ni nzuri na ingekuwa vyema kama ingeanzia bungeni kama kwa wakenya ili kuwa hamasa zaidi na kutangazika kirahisi.

Kwa idadi niliyosikia kuwa imejitokeza kutairiwa, inanipa picha kuwa watanzania wengi hawajapata hii kitu.....

Je nimikoa gani hapa Tanzania ambayo hawafanyi hii kitu?

jamani wasuk..a wanaongoza kwa kuwa na mizura. Eti wao wanasema ukiwa na zunga ndo heshima ya ndoa kwa mke hasa pale atakapo menya menya na kuonja ule ukoko mweupe.
 
Kuna baadhi ya sehemu hiyo campaign ilishaanza kama pilot hasa mikoa ya magharibi, watu wamepata madonateri wameamua kuipanua. December 2010 waliwakata primary school children.. Huku magharibu hawakatwi ni utamaduni .
 
Back
Top Bottom