Wanaume TZ Kufanyiwa kama wakenya

NATA

JF-Expert Member
May 10, 2007
4,492
1,311
Leo hasubuhi nimesikia wanaume wa Tanzania wameanza kutairiwa ili kupunguza maambukizi ya ukimwi.

Hii campaign ni nzuri na ingekuwa vyema kama ingeanzia bungeni kama kwa wakenya ili kuwa hamasa zaidi na kutangazika kirahisi.

Kwa idadi niliyosikia kuwa imejitokeza kutairiwa, inanipa picha kuwa watanzania wengi hawajapata hii kitu.....

Je nimikoa gani hapa Tanzania ambayo hawafanyi hii kitu?
 
Anza na Wajaluo ongeza Waha na Wahaya pia wamo ongeza ana wengine
 
Leo hasubuhi nimesikia wanaume wa Tanzania wameanza kutairiwa ili kupunguza maambukizi ya ukimwi.

Hii campaign ni nzuri na ingekuwa vyema kama ingeanzia bungeni kama kwa wakenya ili kuwa hamasa zaidi na kutangazika kirahisi.

Kwa idadi niliyosikia kuwa imejitokeza kutairiwa, inanipa picha kuwa watanzania wengi hawajapata hii kitu.....

Je nimikoa gani hapa Tanzania ambayo hawafanyi hii kitu?

Wanaume wa wapi hao ambao hawajatahiriwa???
 
Mh da Dena kama unaelewa zaidi juu ya hili ni bora mwaga hapa na sisi wa kusikia tufaidike.

Unajua nimeshangaa wanaume gani ambao hawajatahiriwa Tanzania labda mie nabahati sikuwahi kutana na wa hivyo
 
Kwani we da Dena idadi ya hao uliokutana nayo ni % ya wa Tanzania na Sampling yako ilikuwaje?
 
Mmmhhh Nata usinitafutie ugomvi na wanaume wa humu Tanzania nzima mmmhh hapana kwa wale niliowahi kukutana nao sikusema idadi ya watz wote. Labda niongeze tu nimewahi kutana na makabila tofauti sijafanikiwa kuona
 
Leo hasubuhi nimesikia wanaume wa Tanzania wameanza kutairiwa ili kupunguza maambukizi ya ukimwi.

Hii campaign ni nzuri na ingekuwa vyema kama ingeanzia bungeni kama kwa wakenya ili kuwa hamasa zaidi na kutangazika kirahisi.

Kwa idadi niliyosikia kuwa imejitokeza kutairiwa, inanipa picha kuwa watanzania wengi hawajapata hii kitu.....

Je nimikoa gani hapa Tanzania ambayo hawafanyi hii kitu?

Aisee Watanzania kweli mataahira.Mtu unadhalilishwa halafu unakenua!Uwezo wetu wa kufikiri ni mdogo sana.
 
watailiwe waache mchezo wajibu wao mpaka serikali iwakumbushe wawa hao khaaaaaaaaaa!
 
naomba kuuliza kutahiriwa ni usafi,mila au dini? manake huku umangani wanaume wengi hawajatahiriwa kabisa wanasema hilo ni suala la dini au uamuzi wa mtu.Mfano mzuri kuna kipindi cha TV hapa UK kinaitwa SEX EDUCATION IN SCHOOL versus PONOGRAPHY huwa kinaonyesha live wanaume au wasichana wakiwa uchi huku wanafunzi wakiwastudy maumbile yao kama sehemu ya kujielewa,tangu nimeanza kukiangalia sijaona waliotahiriwa kati ya wanaonyeshwa.kwa walio Norway kinaonyeshwa kupitia VIASAT CHAN 3 kila alhamisi 22:30 usiku au wanaotumia canal digital.kwa wanaotumia DSTV sijui kinapatikana chan gani sasa kama hawa wenzetu wazungu tunaodhani wamestaarabika zaidi hawatahiriwi sisi tunatahiri ili iweje kwani wao hawana ukimwi?sidhani kama kweli kutahiri kutapunguza maambukizi ya ukimwi kama hatutabadili tabia za ngono zembe.
 
Tanzania hii, nasikia wengi walio tahiriwa ni wa pwani hii mikoa mingine ngoma mbichi

Wapi wewe, mkoa unaoongoza kwa kutahiri tena bila ganzi ni Arusha, wee acha tu usinikumbushe yaliyonikuta nikitamani kuwa Morani! Yaani hata ukiniahidi 1 bil, siwezi rudia kama kungekuwa na kurudia, ogopa sana Wameru, wamasai, waarusha: halafu mbaya zaidi unatahiriwa ukubwani! Tunafanyiwa mambo ya kinyama, wewe jaribu tu kutuchunguza tukiwa faragha utatuhurumia, hii ni zaidi ya tohara, ukitahiriwa hospitalini unadharaulika hadi na wanawake: huku tunatakiwa kuokolewa na huu ukatili maana ukilia tu umeharibu CV yote: karibuni kwenye hii jehanam!!!!!!
 
Mh pole sana morani, kwa kweli imenitisha.
Pamoja na maendeleo haya yote bado mnajiuliza "is it possible?"
 
Back
Top Bottom