Wanaume tuu!!!

sikujua we ni mwanaume Smile? Otherwise, maumbile yetu ni tofauti sana na wao especially mwanamme aliyezoea kufanya tendo la ndoa,kukaa muda mrefu ni matatizo kwake( si padri huyu)....kwasisi wanawake hilo linawezekana kabisa....!!

Hivi huu usemi kuwa kwa wanaume ni ngumu unatoka wapi! Michelle wachangiaji wengi hapa ni wanaume na wamesema inawezekana! Kila kitu ni kujitune tu na wengine wamevimbishwa vichwa na hizi statement za wanaume ngumu!
 
Yote yanawezekana, akili yako ndiyo inaamsha tamaa. Achana na stori zenye kukutia ushawishi wa kijinga, fikiri miaka 10 ijayo na sehemu yako kwa familia. Hebu Fikiri na chukua scenario ikiwa miaka 10 ijayo watoto wako watakuwa ombaomba pale barabarani...
 
ebwana wee wee uendelee tuu kujienjoy la msingi utumie kinga...usipo fanya hivyo utakuwa master wa masturbation sasa wich is beta??
 
Wadau naomba kupata uzoefu kutoka kwa wanaume tuu. Mwenzenu mara nyingi kazi zangu zinanilazimu kusafiri nje ya mkoa wakati mwingine hata miezi mitatu nakuwa mbali na familia yangu, ninaposafiri kikazi nje ya Mkoa ninapata taabu sana kukwepa kutoka nje ya ndoa. Mara nyingi huwa nastahimiri kipindi cha mwezi mmoja mpaka mmoja na nusu, lakini kuanzia hapo hata nitumie mbinu gani nimejikuta nashindwa kabisa uzalendo...... Naombeni kupata uzoefu kwa mdau mwenye nature ya kazi kama yangu anawezaje kushinda hii hali?

Samahani mkuu,

Hivi mke wako akiugua na kulazwa hospitali mwaka mzima utafanyaje??

Babu DC!!
 
Hivi huu usemi kuwa kwa wanaume ni ngumu unatoka wapi! Michelle wachangiaji wengi hapa ni wanaume na wamesema inawezekana! Kila kitu ni kujitune tu na wengine wamevimbishwa vichwa na hizi statement za wanaume ngumu!

sawa Twande, wanaweza kuwa sahihi kabisa....nimeandika hivyo based na uzoefu wa wale wachache walioko/waliokuwa karibu yangu.
 
Hivi kupiga punyeto siyo ku-cheat????

Weee fwala kweliii. Chukua machangu basi, atleast hao wako makin hawakubali bila condom, lakini pia hawana mambo ya ''u bebi bebiiii'' wee ni kudumbukiza na kushusha mzigo hamna sijui nini au nini, five minutes u done, off you go na hata mkikutana asubuhi au kesho yake u start upya. Hamna kuombana namba ya simu wala vocha au umetoka wapi pia hata gharama za misosi na kinywaji hamna unless ujipendekeze mwenyewe. Inalinda ndoa, iko salam na kwakua ni fastafasta hauchoki sana so ukirudi hme mambo iko palepale.
 
Ukiamua na kudhamiria kwamba hutaki kutoka nje ya ndoa, na ukaomba msaada wa Mungu, inawezekana.

Pia unahitaji kujiepusha kuwa sehemu za zinakufanya utamani....!

Ohhh!!...kumbe ni kwa wanaume tu..........SORRY!
 
Samahani mkuu,

Hivi mke wako akiugua na kulazwa hospitali mwaka mzima utafanyaje??

Babu DC!!

Hapo sasa saikoloji huwezi kupata nafasi ya kuwazia hayo coz muda wote mind iko hospital. Lakini home kuko shwari, uko alone, umekula vizuri na pesa ipo na kuna chumba cha hotel kinavutia mbaya zaidi umegonga na valuu kadhaa....wacha wewe ni noumer, udenda kwenda mbele vinginevyo utachafua mashuka ya hotel bureee....!
 
Hiyo nayo ni dhambi??
 
MATOKEO YAKE MADADA ZETU WANAFANYA UPUUZI KAMA HUU

SORRY
Zainabu matatani kwa kutupa kichanga chooni

6186954.jpg

Tuesday, January 10, 2012 11:21 AM
BI.ZAINABU SAID [24] mkazi wa Kiwalani jijini dar es Salaam, anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kutupa mtoto wake mchanga chooni.

Taarifa hiyo ilisema mwanamke huyo alitupa kichanga hicho cha siku moja choooni

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Faustine Shilogile alisema kuwa kichanga hicho kilitupwa chooni na mwanamke huyo kwa sababu ambayo haijafahamika hadi sasa

Kamanda huyo amesema kuwa, majira walioposhitukia tukio hilo waliweza kutoa taarifa kituo cha polisi, na Jeshi hilo kufika eneo hilo kwa ushirikiano walifanikiwa kukiopoa kichanga hicho ambacho tayari kilikuwa kilishakufa

Amesema kichanga hicho kilichukuliwa na kwenda kuhifadhiwala katika Hospitali ya Amana huku mama huyo akiwa anashikiliwa na jeshi hilo kwa uchunguzi zaidi kubaini alifanya tukio hilo kwa makusudi ama alikuwa na matatizo ya akili
 
Yote yanawezekana, akili yako ndiyo inaamsha tamaa. Achana na stori zenye kukutia ushawishi wa kijinga, fikiri miaka 10 ijayo na sehemu yako kwa familia. Hebu Fikiri na chukua scenario ikiwa miaka 10 ijayo watoto wako watakuwa ombaomba pale barabarani...

Umegusa pabaya mkuu nimekupata, nitajitahidi kushinda hii Changamoto.
 
Kwa sababu uvumilivu wako una limit ya mwezi mmoja na nusu, mshauri mkeo awe anakuja huko mkoani kila baada ya muda huo kukukata kiu, akimaliza anageuza Dar fasta kuendelea na majukumu yake!
 
Back
Top Bottom