Wanaume tutoe ya moyoni tusije kufa nayo

King snr

JF-Expert Member
May 25, 2015
1,165
1,461
Bila salamu naandika kwa uchungu nilionao moyoni nataka sumu zote zitoke Leo.

Miaka tisa iliyopita niliingia kwenye mahusiano na mtoto wa binamu yangu.

Nilikuja kuomba ushauri hapa baada ya penzi kukolea.

Thread hii hapa:
Nampenda sana mtoto wa binamu yangu, nitaruhusiwa kumuoa?

Miaka mingi ikapita penzi likazidi kukua Binti akapata mimba wakati bado yuko chuo ikabidi akae kimya hadi alipokaribia kujifungua akasema kwa wazazi wakalipokea akajifungua salama mtoto mzuri kabisa
Ishu ikaja alipotakiwa kumtaja baba wa mtoto hakuwa tayari kumtaja maana alihofia usalama wangu na zaidi baba yake angekasirika zaidi endapo angekua Mimi ndo nimesababisha

Okay, kuachana na changamoto hizo kifamilia hakuweza kunitaja Hadi hii Leo na mtoto wanaishi nae tu vizuri kawaahidi atawatajia baba wa mtoto mwakani.

Nilijitahidi kuongea nae ikiwezekana tuweke sawa suala hili ili Kama mambo ya ndoa yanawezekana basi tujiandae kwayo na hapo ndo tatizo lilikuja kuonekana upande wa dini,tuko dini tofauti sikua tayari kufunga ndoa bomani, sikua tayari kubadili dini Mimi Kama muoaji, yeye pia hakuwa tayari kubadili dini na hoja yake kubwa ni kwamba natakiwa nibadili Mimi kulipa fadhila kwa uvumilivu alikuwa nao wakati wa ujauzito Hadi kujifungua na namna alivyo risk kwenye familia yake

Baada ya majadiliano ya muda mrefu kuhusu hatma yetu nikaona ni vizuri tukavunja mahusiano maana hakuna future Tena akikubali lakini kikike(wanaume mnaelewa kubali za Hawa dada zetu wasipokubaliana na Jambo) Ila tulikubaliana Jambo moja yule ni mwanangu na atanipa baada ya kufikisha umri flani hata Kama Kuna ishu za penalty n .k nitawajibika

Haya bhana Leo hii naandika hapa nmeshapigwa block namba zangu zote, hakutaka Tena mawasiliano nami Kuna wakati ilifika mtoto anaonekana anazidi kufanana na baba yake minong'ono ikawa mingi huyu mbona mtoto wa 'king herode' Ila wazazi wamekaa kimya tu wanasubiri mtoto aseme mwenyewe
Kiufupi hataki Tena kuwasiliana nami,nikimtafuta namba ngeni akijua ni Mimi anakata simu tayari kaniambia nikimsumbua hata mtoto sitampata na anasema Nina uhakika gani Kama mtoto ni wangu daaah hii gender πŸ™Œ
Imagine natamani kumhudumia mwanangu Ila sipewi nafasi na Niko hatarini kumkosa kabisa..

Sasa ngoja nitoe ya moyoni hapa

Queen mama wa mwanangu ni zaidi ya mwaka Sasa umepita tangu umetoka mwachoni pangu umeenda mbali ambako Sina Uhuru wa kuweza kuja maana sijui wananichukuliaje huko uliko, natamani sana kuja kukusalimia wewe na mwanangu Ila hujanipa nafasi hata ya kumuona mwanangu live, nimekaa kimya muda mrefu nikiamini maumivu yako yatapoa na utaweza kusamehe tuendelee kuwa na mawasiliano yenye maslahi kwa mtoto wetu Ila bado umekaza Hadi Leo ni hasira gani hizo zisizoisha mama mbona ulikua unanipenda sana uko wapi Tena ule upendo wote Hadi nikakuzuia usitoroke kwenu ili kuja kuishi nami
nisamehe kwa kuvunja mahusiano yetu sikuona future kati yetu niliacha uwe huru upate mtu wa dini yako ambaye atakubalika kwa wazazi wako sikukuacha sababu ya kua na mtu mwingine Kama ulivyofikiria. Leo napitia picha zetu napata maumivu umenitoka mikononi mwangu wakati ambao bado nilikua nakuhitaji na zaidi ya yote una damu yangu mwanangu ambaye umempa ubini wa Babu yake kwenye cheti Cha kuzaliwa kwanini unataka kunipoka damu yangu mama?

Ni Jambo gani nifanye nipate msamaha kwako?ulisema nisikusumbue Tena sawa nimetii lakini ni muda mrefu Sasa natamani suala hili liishe kwa maslahi ya mwanetu Wala Sina Nia ya kuharibu mahusiano yako mapya naomba "unblock me" tafadhali nakuomba Sana malkia wangu.

ule wimbo uliokua unaupenda unaniumiza kila ninapousikia napata hisia zenye hatia juu yako, niliamini wewe ni msichana uliyewahi kunipenda sana wakati mwingine huwa najiuliza ilikuaje nikaruhusu utoke kwangu lakini sikua na namna tusingeweza kuoana Kama hatujakubaliana kiimani, wakati tuko kwenye mahusiano tulidhani undugu wetu una nguvu ya kutuzuia kumbe nguvu yake ni ya kutuweka pamoja zaidi ni tofauti na nguvu ya utofauti wa Imani zetu zinatuweka mbali zaidiπŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”

aaaaaarrrrgggggggghhhhhhπŸ˜ πŸ˜ πŸ˜ πŸ˜ πŸ˜ πŸ˜ πŸ˜žπŸ˜žπŸ˜¨πŸ˜¨πŸ˜°πŸ˜°πŸ˜“πŸ˜₯😒😒😀😀😀

Nadhani kidogo nimepata ahueni sikua na wa kumwambia mambo yanayoendelea moyoni mwangu asanteni sana ndugu zangu wa JF

Kama mtu una Jambo na huna wa kumwambia naomba tuambiane humu Kuna ahueni Fulani hivi inatokea baada ya kueleza kinaga ubaga πŸ’―
 
28/05/2023 Mbumbumbu wamekuwa mfano bora kabisa kwa kutoa dukuduku jinsi wanavyoteseka kushabikia timu bovu lililokaa zaidi ya miaka miwili bila kombe lolote

Yanahamia hamia tu kwenye timu za wageni kama wakimbizi.

Mara yajiite Africain, Rivers Utd, yakajiita TP Mazembe, Marumo Gallants, sasa hivi yanajiita USM Alger

Tunaamini mpira hudunda na Mungu anaenda kuyaumbua Makolokolo 03/06/2023 Yanga ikishinda ugenini 2-0 na kuwa Bingwa mpya wa CAFCCL 2023.

Mungu ibariki Young Africans, Mungu ibariki Tanzania

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
😁😁kaka hayo ndo ya moyoni? Pole sana

Nkifunguka hapa bendera itashushwa nusu mlingoti ngoja nikae kimya, yeyote anaejua ghorofa ambalo naweza jirusha vzr anambie
😁😁Kaka unataka tupoteze nguvu ya taifa?
Sema hapa wengine wajifunze pia usije kufa nayo moyoni
 
28/05/2023 Mbumbumbu wamekuwa mfano bora kabisa kwa kutoa dukuduku jinsi wanavyoteseka kushabikia timu bovu lililokaa zaidi ya miaka miwili bila kombe lolote

Yanahamia hamia tu kwenye timu za wageni kama wakimbizi.

Mara yajiite Africain, Rivers Utd, yakajiita TP Mazembe, Marumo Gallants, sasa hivi yanajiita USM Alger

Tunaamini mpira hudunda na Mungu anaenda kuyaumbua Makolokolo 03/06/2023 Yanga ikishinda ugenini 2-0 na kuwa Bingwa mpya wa CAFCCL 2023.

Mungu ibariki Young Africans, Mungu ibariki Tanzania

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
😁😁😁😁😁
Ugomvi wa watani ngoja nikae pembeni
By the way Yanga kushinda ugenini sio story, anaweza kufanya hivyo
 
Kaza mbupu mwanaume acha kulia lia,Unadhani akiona ulivyojimwaga hapa si atazidi kukuona hamnazo,we piga kimya subiri time will tell.
😁😁
Hawa washauri ndo wanaofanya watu wajirushe kwa maghorofa maji yakishafika kooni
 
Bila salamu naandika kwa uchungu nilionao moyoni nataka sumu zote zitoke Leo..
Miaka tisa iliyopita niliingia kwenye mahusiano na mtoto wa binamu yangu
Nilikuja kuomba ushauri hapa baada ya penzi kukolea....

Thread hii hapa:
Nampenda sana mtoto wa binamu yangu, nitaruhusiwa kumuoa?

Miaka mingi ikapita penzi likazidi kukua Binti akapata mimba wakati bado yuko chuo ikabidi akae kimya hadi alipokaribia kujifungua akasema kwa wazazi wakalipokea akajifungua salama mtoto mzuri kabisa
Ishu ikaja alipotakiwa kumtaja baba wa mtoto hakuwa tayari kumtaja maana alihofia usalama wangu na zaidi baba yake angekasirika zaidi endapo angekua Mimi ndo nimesababisha

Okay, kuachana na changamoto hizo kifamilia hakuweza kunitaja Hadi hii Leo na mtoto wanaishi nae tu vizuri kawaahidi atawatajia baba wa mtoto mwakani
Nilijitahidi kuongea nae ikiwezekana tuweke sawa suala hili ili Kama mambo ya ndoa yanawezekana basi tujiandae kwayo na hapo ndo tatizo lilikuja kuonekana upande wa dini,tuko dini tofauti sikua tayari kufunga ndoa bomani, sikua tayari kubadili dini Mimi Kama muoaji, yeye pia hakuwa tayari kubadili dini na hoja yake kubwa ni kwamba natakiwa nibadili Mimi kulipa fadhila kwa uvumilivu alikuwa nao wakati wa ujauzito Hadi kujifungua na namna alivyo risk kwenye familia yake

Baada ya majadiliano ya muda mrefu kuhusu hatma yetu nikaona ni vizuri tukavunja mahusiano maana hakuna future Tena akikubali lakini kikike(wanaume mnaelewa kubali za Hawa dada zetu wasipokubaliana na Jambo) Ila tulikubaliana Jambo moja yule ni mwanangu na atanipa baada ya kufikisha umri flani hata Kama Kuna ishu za penalty n .k nitawajibika

Haya bhana Leo hii naandika hapa nmeshapigwa block namba zangu zote, hakutaka Tena mawasiliano nami Kuna wakati ilifika mtoto anaonekana anazidi kufanana na baba yake minong'ono ikawa mingi huyu mbona mtoto wa 'king herode' Ila wazazi wamekaa kimya tu wanasubiri mtoto aseme mwenyewe
Kiufupi hataki Tena kuwasiliana nami,nikimtafuta namba ngeni akijua ni Mimi anakata simu tayari kaniambia nikimsumbua hata mtoto sitampata na anasema Nina uhakika gani Kama mtoto ni wangu daaah hii gender πŸ™Œ
Imagine natamani kumhudumia mwanangu Ila sipewi nafasi na Niko hatarini kumkosa kabisa..

Sasa ngoja nitoe ya moyoni hapa

Queen mama wa mwanangu ni zaidi ya mwaka Sasa umepita tangu umetoka mwachoni pangu umeenda mbali ambako Sina Uhuru wa kuweza kuja maana sijui wananichukuliaje huko uliko, natamani sana kuja kukusalimia wewe na mwanangu Ila hujanipa nafasi hata ya kumuona mwanangu live, nimekaa kimya muda mrefu nikiamini maumivu yako yatapoa na utaweza kusamehe tuendelee kuwa na mawasiliano yenye maslahi kwa mtoto wetu Ila bado umekaza Hadi Leo ni hasira gani hizo zisizoisha mama mbona ulikua unanipenda sana uko wapi Tena ule upendo wote Hadi nikakuzuia usitoroke kwenu ili kuja kuishi nami
nisamehe kwa kuvunja mahusiano yetu sikuona future kati yetu niliacha uwe huru upate mtu wa dini yako ambaye atakubalika kwa wazazi wako sikukuacha sababu ya kua na mtu mwingine Kama ulivyofikiria. Leo napitia picha zetu napata maumivu umenitoka mikononi mwangu wakati ambao bado nilikua nakuhitaji na zaidi ya yote una damu yangu mwanangu ambaye umempa ubini wa Babu yake kwenye cheti Cha kuzaliwa kwanini unataka kunipoka damu yangu mama? Ni Jambo gani nifanye nipate msamaha kwako?ulisema nisikusumbue Tena sawa nimetii lakini ni muda mrefu Sasa natamani suala hili liishe kwa maslahi ya mwanetu Wala Sina Nia ya kuharibu mahusiano yako mapya naomba "unblock me" tafadhali nakuomba Sana malkia wangu
ule wimbo uliokua unaupenda unaniumiza kila ninapousikia napata hisia zenye hatia juu yako, niliamini wewe ni msichana uliyewahi kunipenda sana wakati mwingine huwa najiuliza ilikuaje nikaruhusu utoke kwangu lakini sikua na namna tusingeweza kuoana Kama hatujakubaliana kiimani, wakati tuko kwenye mahusiano tulidhani undugu wetu una nguvu ya kutuzuia kumbe nguvu yake ni ya kutuweka pamoja zaidi ni tofauti na nguvu ya utofauti wa Imani zetu zinatuweka mbali zaidiπŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”
aaaaaarrrrgggggggghhhhhhπŸ˜ πŸ˜ πŸ˜ πŸ˜ πŸ˜ πŸ˜ πŸ˜žπŸ˜žπŸ˜¨πŸ˜¨πŸ˜°πŸ˜°πŸ˜“πŸ˜₯😒😒😀😀😀

nadhani kidogo nimepata ahueni sikua na wa kumwambia mambo yanayoendelea moyoni mwangu asanteni sana ndugu zangu wa JF

Kama mtu una Jambo na huna wa kumwambia naomba tuambiane humu Kuna ahueni Fulani hivi inatokea baada ya kueleza kinaga ubaga πŸ’―
Eeeeh
 
Carol carol carol kwa kweli nilikupenda sana ila kitendo chako cha kunibwaga wakati sina kazi kimeniathiri maisha yangu yote. Kweli kwa kujitoa kote kule ndio wakiniambia sina mbele wala nyuma kama mche wa sabuni.
 
Nyie ndo huwa mnamwagiwa tindikali au hata kuwekewa sumu kwenye chakula, halafu baadae mnasema wanawake wana roho mbaya.

Mtu akakuvumilia muda wote huo unamcontrol kama roboti halafu mwisho wa siku unasema humuoi kisa hutaki ndoa ya bomani, wakati unamchakata hukujua dini ni tofauti, unalea mimba unampa ahadi za ndoa mpaka unaruhusu azae, atunze siri alooo.

Na huyo mtoto asikutambue kamwe kama wewe ndie baba yake maana ni mbinafsi sana, hutamlea vizuri.
 
πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Pole sana kaka
 
Hakuna aliyekua tayari na ndoa ya bomani ishu ilikua Ni lazima mmoja kati yetu abadili dini kumfuata mwenzake

Wakati mapenzi yanakolea mtu unasahau kuhusu vipingamizi Hadi pale unapofika wakati wa kufanya maamuzi so πŸ™πŸΌ
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom