Wanaume tunapopiga kura ya Macho; Universal Language...

MM mi hapo umenichanganya kidogo, hivi unazungumzia nyumba kubwa, au ndogo? mi ninavyojua hayo mambo ya kusifiana siui umependeza nk yanaishia kulekle kwenye nyumba ndogo. nyumba kubwa na kusifiana sijui votes wapi na wapi? kama ulitoa mahari si ndio usahidi wa moja kwa moja wa chaguo lako, sasa masifa na makiss ya nini tena? huduma nyingine ni reserved mtaani kwa small house!
 
Kwahiyo kwasababu umemuoa ndo huwezi kumsifia?!Usipotoke kiasi hicho...ndo maana wanawake nao wamezidi kutoka nje maana hata kujituma si ajabu hujitumi umeshajijengea dhana kwamba nyumbani huhitaji kufanya hivyo kwasababu ni kwa mkeo....HOVYO!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Acha abweteke. Anadhani yeye anavyoisifia nyumba ndogo mkewe hawezi kutafuta sifa ambazo mumewe hampi toka kwa vidumu. Au bado anaamini hamna anayetamani wake za watu?

topic powa, ya uhakika, ni nzuri kuisoma weekend hii huku tukisubiri mpambano wa Barca na Man united
 
Leo Barca wanachezea kichapo,Rooney na Giggs,dakika 56 na 75 na bao moja la Barca litafungwa na Keita dakika ya 35!
 
Kwahiyo kwasababu umemuoa ndo huwezi kumsifia?!Usipotoke kiasi hicho...ndo maana wanawake nao wamezidi kutoka nje maana hata kujituma si ajabu hujitumi umeshajijengea dhana kwamba nyumbani huhitaji kufanya hivyo kwasababu ni kwa mkeo....HOVYO!!

Acha abweteke. Anadhani yeye anavyoisifia nyumba ndogo mkewe hawezi kutafuta sifa ambazo mumewe hampi toka kwa vidumu. Au bado anaamini hamna anayetamani wake za watu?

nyie acheni kucheza na buti la jeshi! mwanamke nimkute anakanyagwa nje ! hahah atajuta kwa nini alikuja duniani. na ananijua vizuri sana mbona.

mi nasema kusifia mtu niliyemuoa, no kabisa. kama anataka masifa asubiri nitakapomtandika talaka ageuke changu ndo atakuwa akisifiwa, sio eti ndani tuanze mambo ya watoto ya kusifiana. na nyie makubwa mazima mkisifia hata sifa za uongo na kweli za alinacha mnavimba mabichwa eti mnajiona wazuri?? mnajisikia vizuri? angalieni msijekuwa mlishafanywa small houses na waume zenu bila kujua!
 
Ya kweli sana haya na inatokea mara kwa mara kwenye jamii inayotuzunguka
 
nyie acheni kucheza na buti la jeshi! mwanamke nimkute anakanyagwa nje ! hahah atajuta kwa nini alikuja duniani. na ananijua vizuri sana mbona.

mi nasema kusifia mtu niliyemuoa, no kabisa. kama anataka masifa asubiri nitakapomtandika talaka ageuke changu ndo atakuwa akisifiwa, sio eti ndani tuanze mambo ya watoto ya kusifiana. na nyie makubwa mazima mkisifia hata sifa za uongo na kweli za alinacha mnavimba mabichwa eti mnajiona wazuri?? mnajisikia vizuri? angalieni msijekuwa mlishafanywa small houses na waume zenu bila kujua!
Sikubaliani na wewe Mtu Mmoja kabisa, kusifiana na kuambiana maneno ya mapenzi ndio kunarutubisha mapenzi yenu kama wanandoa, kama wewe hufanyi hivyo subiri usaidiwe na huwa ikitokea mwanamke ndio anadhani anaendwa hivo atakusahau kabisa
 
haha, gaga, hayo maneno matamu ni uongo tu na mimi sina muda wa kupoteza na longolongo za kitoto. hapo pa kusaidiwa nitaua mtu any time, ajaribu aone! mi kiboko ya wanawake bwana, nimelamba madazani ya wananwake na niliwatimua wenyewe, hakuna aliyejaribu kunichanganya na mtu, kwangu mwanamke hatakiwi hata kutuhumiwa, anakula kichapo cha nguvu immediatelly na akirudia namtoa jicho, asipojirekebisha naminya roho na kumaliza biashara kabisa. pambaf zao! they know me aisee, sitaniwi na ndio maana sitanii mtu!
 
Hujui usemalo wewe na kama kweli hiyo ndiyo tabia yako LAZIMA utakuwa unasaidiwa na wenzio. Hujui hata thamani ya mwanamke wewe. Sifa zote ulizojipa ni ZA Kijinga.
 
That's reality,i like this!
 
Ha ha. Nawajua sana watu kama nyie. Ndio mnaopigishwa deki na kuosha mivyombo nyumbani wife asikasirike akakunyima tundi. Ukija JF unachonga kujipa moyo. Wenye mioyo unayoadithia hapa wapo tuli.

na we wa wapi tena? kusaidiwa nisaidiwe mie? thubutu!! thamani ya mwanamke naijua sana, iko kule downstairs na si zaidi ya hapo, we ndo unayepaswa kurudi kwenye darasa la dunia hii kupunguza undondocha!

Ha ha. Nawajua sana watu kama nyie. Ndio mnaopigishwa deki na kuosha mivyombo nyumbani wife asikasirike akakunyima tundi. Ukija JF unachonga kujipa moyo. Wenye mioyo unayoadithia hapa wapo tuli.

hahah, hongera nyumba kubwa kwa kupata dume zezeta linalokusifia kila siku!!
 
haha, gaga, hayo maneno matamu ni uongo tu na mimi sina muda wa kupoteza na longolongo za kitoto. hapo pa kusaidiwa nitaua mtu any time, ajaribu aone! mi kiboko ya wanawake bwana, nimelamba madazani ya wananwake na niliwatimua wenyewe, hakuna aliyejaribu kunichanganya na mtu, kwangu mwanamke hatakiwi hata kutuhumiwa, anakula kichapo cha nguvu immediatelly na akirudia namtoa jicho, asipojirekebisha naminya roho na kumaliza biashara kabisa. pambaf zao! they know me aisee, sitaniwi na ndio maana sitanii mtu!
Heeee mapenzi au vita?
 
Hujui usemalo wewe na kama kweli hiyo ndiyo tabia yako LAZIMA utakuwa unasaidiwa na wenzio. Hujui hata thamani ya mwanamke wewe. Sifa zote ulizojipa ni ZA Kijinga.
Anafikiria mapenzi yanaenda kihivo looooo na lazima tu mwanamke wake anachakachuliwa kwa staili yake, eti hakuna kusifia ndio mapenzi gani, kwa hiyo hata mwanamke wako akikura raha ya kifani huwezi mwambia au kumsifia, huyu atakuwa waleeeeee mkoa wa wanaume wakaliiii
 
Back
Top Bottom