Wanaume tunapenda hivi, jee wenzetu wanawake vipi?

Bishanga sikubaliani na wewe, i always go for experience,ya nini bana nianze kutoa twisheni,kwanza huo muda ninao na mambo yenyewe ya kuvaa mikondom wakati nonino zenyewe mpaka zipigwe jeki kwanza,kha! mimi ni wash n go bana.

Hivyo wewe hushiriki kwenye hii mijadala ya ubikira! Utaachwa nyuma wewe!
 
Mtatusaidiaje kujibu na wakati 2po?women are emotional oriented wakat men are physical oriented hapo ndipo 2napotofautiana sana kwnye mapenz!wanaume wengi hawapendi wanataman ndo mana wanaangalia hizo physical feature women 2napenda kwa kumaanisha in most cases na tunapenda those men wanaojua kuonyesha mapenz,we want men who will love,care,adore,cherish,respect and make us happy!hayo ya physical hua hatuyaangalii sana!

Hivyo kati ya tendering na mshughuliko kipi mnapenda zaidi?
 
Dah..i prefer an EXPERT! Its supposed to be fun...Not a training ground yani mtu anaanza ku refer kwenye sex tapes na imagination zake.. Naaah...!!
 
Hapo hunikosi kwa ofa hio :violin:
 
Dah..i prefer an EXPERT! Its supposed to be fun...Not a training ground yani mtu anaanza ku refer kwenye sex tapes na imagination zake.. Naaah...!!

Hapo powa tu, raha ni kustarehe raha sio sifa!
 
hiyo sana kwa wanaume wanaotamani ,ndio utangali muonekano but ladys wako tofauti , tunangalia matunzo, mapenzi, ushirikiano, sio the way u are,,
 
Hivyo wewe hushiriki kwenye hii mijadala ya ubikira! Utaachwa nyuma wewe!
Ya kazi gani? Nimchukue mchuchu,usafiri wangu,dinner karambezi sea cliff juu yangu,chumba dola mia mbili double tree masaki nilipe mimi,bado tuingie chumbani nianze kuhangaika kumvua kufuli? For what? Mi nikisha ingia migharama yote hiyo yaliyobaki kazi ni kwake,mi wajibu wangu ni kulala chali na kufunga macho,basi.
 
Hilo swali ulilowauliza wanawake nawaachia wao wajibu,nitazungumza kidogo sana kuhusu wanaume,umesema wanaume "tunapendelea",ni wanaume wa wapi hao?Kama hujui nakufahamisha kuwa wapo wanaume wengi sana hawana habari na hivyo "viteenage" kwani vinaboa sana!
 
hiyo sana kwa wanaume wanaotamani ,ndio utangali muonekano but ladys wako tofauti , tunangalia matunzo, mapenzi, ushirikiano, sio the way u are,,

Hata wanawake nao wapo wa hovyo sana!Lakini walio makini pia wapo!
 
Ya kazi gani? Nimchukue mchuchu,usafiri wangu,dinner karambezi sea cliff juu yangu,chumba dola mia mbili double tree masaki nilipe mimi,bado tuingie chumbani nianze kuhangaika kumvua kufuli? For what? Mi nikisha ingia migharama yote hiyo yaliyobaki kazi ni kwake,mi wajibu wangu ni kulala chali na kufunga macho,basi.

Misifa umebikiri mwenyewe na huyo anaekuja tayari tayari alianzishwa !
 
Hilo swali ulilowauliza wanawake nawaachia wao wajibu,nitazungumza kidogo sana kuhusu wanaume,umesema wanaume "tunapendelea",ni wanaume wa wapi hao?Kama hujui nakufahamisha kuwa wapo wanaume wengi sana hawana habari na hivyo "viteenage" kwani vinaboa sana!

Inawezekana na ni kweli kuwa wapo kama ze Bananas wanaotaka wafundishiwe lakini ukifuatilia threads za humu ungepata trend halisi ninayoizungumza!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom