Wanaume tunapenda hivi, jee wenzetu wanawake vipi?

Ngekewa

JF-Expert Member
Jul 8, 2008
7,705
1,288
Ni jambo la kawaida kwa mtu anaefanya jambo mara nyingi au muda mrefu anakuwa mtaalamu wa lile jambo hivyo anakuwa na uwezo mkubwa wa kulinogesha hilo jambo atakapolitenda.
Chakushangaza wengi wetu wanaume hupendelea zaidi kufwatilia wale wanawake ambao ndio kwanza wanajiingiza katika mchezo wa mapenzi kuliko wale walikuwa muda mrefu kwenye huo mchezo. Huwa tunatowa msururu wa sifa tukianzia na bikira , mnato, chuchu zilizosimama na sifa nyengine tele.

Swali langu lipo hapa; Jee wenzetu wanawake huwa mnapendelea wanaume wepi kati ya wale waliowazoefu au wale wanaoanza kujingiza sasa kwenye huo mchezo?
 
Nadhani hapa subject sahihi ingekuwa; Baadhi ya wanaume tunatamani hivi, Je wanawake wenye tabia za kutamani kama sisi vipi?

Just some suggestion..
 
Wanawake siku zote wako opposite na wanaume usisahau, wao lazima wapenda wale wanaume wanao sex na wanawake wengi.
 
inategemea umri wa mwanamke husika but generally wanapendelea mwanaume mwenye uzoefu zaidi yao
 
I think it goes with with age, you will always want someone opposite your age, This for both gender.

Mzee ataka kijana = better sex performance
Kijana ataka mzee = financial worries taken care.
 
Ni jambo la kawaida kwa mtu anaefanya jambo mara nyingi au muda mrefu anakuwa mtaalamu wa lile jambo hivyo anakuwa na uwezo mkubwa wa kulinogesha hilo jambo atakapolitenda.
Chakushangaza wengi wetu wanaume hupendelea zaidi kufwatilia wale wanawake ambao ndio kwanza wanajiingiza katika mchezo wa mapenzi kuliko wale walikuwa muda mrefu kwenye huo mchezo. Huwa tunatowa msururu wa sifa tukianzia na bikira , mnato, chuchu zilizosimama na sifa nyengine tele.

Swali langu lipo hapa; Jee wenzetu wanawake huwa mnapendelea wanaume wepi kati ya wale waliowazoefu au wale wanaoanza kujingiza sasa kwenye huo mchezo?
Bishanga sikubaliani na wewe, i always go for experience,ya nini bana nianze kutoa twisheni,kwanza huo muda ninao na mambo yenyewe ya kuvaa mikondom wakati nonino zenyewe mpaka zipigwe jeki kwanza,kha! mimi ni wash n go bana.
 
Acha tuwajibie kwani wameingia mitini...wanapenda Pochi.... hapendwi mtu...hata ungekuwaje kama pochi ni nyepesi hola....
 
Mtatusaidiaje kujibu na wakati 2po?women are emotional oriented wakat men are physical oriented hapo ndipo 2napotofautiana sana kwnye mapenz!wanaume wengi hawapendi wanataman ndo mana wanaangalia hizo physical feature women 2napenda kwa kumaanisha in most cases na tunapenda those men wanaojua kuonyesha mapenz,we want men who will love,care,adore,cherish,respect and make us happy!hayo ya physical hua hatuyaangalii sana!
 
  • Thanks
Reactions: Sal

Similar Discussions

Back
Top Bottom