Wanaume suruali!

Unajua hii tabia ikajengeka washikaji kibao kwa wale watoto wagumu kuingilika wakawa wananitumia mm ili kusawazisha mambo nikaona ujinga wenzangu wanafaidi mm kazi kumeza mate aaah wapi nikawa nalainisha njia kwanza mm kisha namwita aanze upya kutongoza.

Fidel mbavu zangu
kwa hiyo we hodari wa kutongoza unakwenda peku maana ni wengi hao
 
your choice is my command. halaf sjui kwanini mapenzi ukiyaongelea kwa kiingereza yananoga?, mimi nazani hili lugha la kiswahili limekaaa kiuadui adui tu. (hii itakuwa ni sredi yangu inayofata)

Hamna bwana....hata kiswahili kinapendeza mradi kitolewe kwa sauti nzuri!!!

Haya mpenzi mi nataka twende kwa yule mama ntilie wa pale Kariakoo ana wali mzuri kweli!!!
 
Hajatangaza Lizzy ila alikuwa anaota huku anaongea.
Kwani hujawahi ona mtu anaota huku anaongea au anatembea kabisa huku anaota?

Hehehhe....wanaoota wanaongea wakiwa usingizini.Njozi on the other hand sidhani kama inakua hivyo!

Yaelekea wewe Lizzy mzuri alafu mtamu ehee?

Hehehehehhe.....hapa no comment.....ngoja ntauliza nijue kwa faida binafsi!
 
Marytina hawa kaka zangu nawapenda sana kwahiyo siwezi kuwakashifu hata siku moja...ila wakikosea stepu nawapaka live bila chenga![/QUOTE]

Akikosea mweleze ajirekebishe asirudie tena next time kwako au kwa wengine
 
Sijawahi kuwachukia wanaume wote kama kundi...ila kuna baadhi wenye tabia za ajabu ajabu nawachukia sana.Hawa ni wale wenye maneno mengi....ya ukweli au ya uongo...mwanaume akishaanza kutumia maneno kupata attention tayari anafaa avalishwe sketi.

Nimejikuta nashangazwa na watu wawilii wa aina hiyo kwa mpigo....nikajikuta najiuliza inakuaje mpaka mtu anaanza kwenda kusambaza maneno ya fulani niko nae...fulani nimetembea nae...fulani namjua sana kafanya hili na lile wakati sio hua
inasabishwa na nini zaidi ya utoto...ushamba na ujinga:???Yani nimeboreka!!

Nwyz kama kuna wa aina hiyo humu embu nifungueni macho alafu muache hiyo tabia!
Hili dongo, watu muache kwenda PM, mnaona sasa hasara zake..!!
 
what nest do u want us to say,u have arleady made a stereo type error,ure statement is conclusive and we cant add anything
 
hii njemba yako ikituona mama ntilie si itaenda kuuza gazeti? halaf hapa JF jamaa wanajua mimi ni selebriti flani tu ambae natembea na mwevuli ili nispigwe na jua.

Khaaaaa!!Kumbe wewe ndo wale kina faifu star full maneno na majigambo!!!
Ngoja nitafute ka-tuu star niendane nako!
 
Kwani Belinda mtu akisema ameshafanya na wewe mapenzi, ni kukudhalilisha? Mapenzi si kitu kizuri, au?

Hivi wadada katika stori zenu hampeani stori kuwa, 'mwanaume fulani tayari nilishaenda naye', 'boss fulani tulishaenjoy malavidavi', 'yule dereva mtamu sana aisee',n.k? l.o.l

Huwezi jisifia hata siku moja kutembea na njemba fulani ni aibu kwa mwanamke.
 
Lizzy,

Hivi wewe umefahamu vipi au una uhakika gani kwamba Mr.X and Mr. Y ndiyo wansambaza haya maneno:-

"..fulani niko nae.."
".. fulani nimetembea nae.."
"..fulani namjua sana kafanya hili na lile.."??????

Kwa taarifa yako tu.. Kama umeambiwa na Mwanaume mwingine (Mr. Z) ku Mr. X or Mr Y anakusema hivi na hivi, fahamu fika kuwa huyo Mr. Z anatumia hiyo kama "gear" ya kukutongoza au kama umeambiwa na Mwanamke (Ms A) fahamu fika kuwa anataka "kukuzibia riziki"!

It is very SAD kwamba Msichana anapokuwa kwenye urafiki wa "kawaida" na Mr.X or Y, Mr. Z na wengineo ambao walishawahi kukataliwa huwa wanajisikia vibaya to the extent ya kuanzisha propaganda kama hizo ulizoziandika, ili mradi tu waharibu regardless. Also kwa wanawake wengine ambao siyo "likeable" kama Ms A, huwa wanajisikia vibaya sana kuona Lizzy anakuwa na urafiki na wanaume regardless.

My Advice: Acha kusikiliza UMBEA wa mtaani, kwa maana hata Papa Paul II aliwahi kusema kuwa "Stupidity is also a gift of God, but one mustn't misuse it”

Skulimeti,

Hapa umenikumbusha mwalimu Kashimbiri.
 
Back
Top Bottom