Wanaume suruali!

Dah kwa mtindo huu angalia na wewe usije ukaitwa mwanamke mama huruma kila mwenye kiwango utakuwa unampa kama njugu mmh

Well kwa kiwango changu.....huo umama huruma utanipita tu!!!Sio sura wala pesa useme wanazo wengi!
 
au ndio wale wanatongozewa

Hahahahaha kuna jamaa angua likuwa domo zege kweli alikuwa ananiomba nimtongozee kisha nimpelekee guest kisha nimwambie mwanamke avue kabisa yeye anakuja kulenga tu hahahahahaha dah we acha tu
 
kama vile unamtamani mwanamke unamwota usiku unamaliza mchezo ndio kilichomtokea jamaa

Yaani kama Lizzy yupo beauty basi jamaa atakuwa amekaa na wenzie anaota mchana kweupe anammega Lizzy huku na huku maromance, mataching taching kashika paja huku anasugua sugua mgongo lol maskini ya Mungu jamaa anaota ndoto za mchana.
 
mmmh hapana hapa kuja jambo,
Lizzy unasema kweli au leo una hamu ya kukashifu wakaka ukaona uzunguke mmbuyu kwa staili hii ili urushe ngumi na mateke bila vikwazo?

Marytina hawa kaka zangu nawapenda sana kwahiyo siwezi kuwakashifu hata siku moja...ila wakikosea stepu nawapaka live bila chenga!
 
Hahahahaha kuna jamaa angua likuwa domo zege kweli alikuwa ananiomba nimtongozee kisha nimpelekee guest kisha nimwambie mwanamke avue kabisa yeye anakuja kulenga tu hahahahahaha dah we acha tu

umenichekesha sana bana duuuu
hata maandalizi unamsaidia
 
Yaani kama Lizzy yupo beauty basi jamaa atakuwa amekaa na wenzie anaota mchana kweupe anammega Lizzy huku na huku maromance, mataching taching kashika paja huku anasugua sugua mgongo lol maskini ya Mungu jamaa anaota ndoto za mchana.

Ahhhh hata kama.....sasa ndo atangaze!
 
Yaani kama Lizzy yupo beauty basi jamaa atakuwa amekaa na wenzie anaota mchana kweupe anammega Lizzy huku na huku maromance, mataching taching kashika paja huku anasugua sugua mgongo lol maskini ya Mungu jamaa anaota ndoto za mchana.

Atakula kuona
 
umenichekesha sana bana duuuu
hata maandalizi unamsaidia

Unajua hii tabia ikajengeka washikaji kibao kwa wale watoto wagumu kuingilika wakawa wananitumia mm ili kusawazisha mambo nikaona ujinga wenzangu wanafaidi mm kazi kumeza mate aaah wapi nikawa nalainisha njia kwanza mm kisha namwita aanze upya kutongoza.
 
Back
Top Bottom