dah! JF bana! yaani mnaishi uswahilini halaf mnataka mkutane na wanaume faifu star? solution ya hii sredi ni fupi sana. "ondokeni uswahilini"
sredi klosed
Sijawahi kuwachukia wanaume wote kama kundi...ila kuna baadhi wenye tabia za ajabu ajabu nawachukia sana.Hawa ni wale wenye maneno mengi....ya ukweli au ya uongo...mwanaume akishaanza kutumia maneno kupata attention tayari anafaa avalishwe sketi.
Nimejikuta nashangazwa na watu wawilii wa aina hiyo kwa mpigo....nikajikuta najiuliza inakuaje mpaka mtu anaanza kwenda kusambaza maneno ya fulani niko nae...fulani nimetembea nae...fulani namjua sana kafanya hili na lile wakati sio hua
inasabishwa na nini zaidi ya utoto...ushamba na ujinga:???Yani nimeboreka!!
Nwyz kama kuna wa aina hiyo humu embu nifungueni macho alafu muache hiyo tabia!
Aisee usiniache kuna jamaa yangu alipigwa marufuku na wife wake kwenda huko Club Continental jamaa akimwambia basi twende wote na yenyewe hataki ahaaa ahaaaa ahaaaa