wanaume sometimez mnaboa nyie !!!!mkoje lakini teh teh

FirstLady,Sasa nikupe ushauri wa bure, kutomea nje ya ndoa kumekuwepo tangu zama hizo. Usikonde wala kuomba talaka kaka akitomea nje, kwani anafanya nini?? ila asikuonyeshe na wala usijue na wewe usimfuatilie maana ukichunguza kuku hautamula. (Tunaogopa ngoma kwa sasa kila mtu amemetulia na wake basiiiiii!)

hapana sio mie bwana Fugwe ila nimeuliza tu swali
 
FL1, nahisi uliyosema ni kweli..ila mi ninachojiuliza pia ni kwamba hii ni trend ambayo inaongezeka...I mean haka kautaratibu hakakuwepo enzi zetu ila sasa hivi 'vijana wa mujini' ndo imekuwa 'kawaida' kutambulishana shemeji wa ukweli na nyumba ndogo vilevile!

Najiuliza ina maana wanawake wanajisikia 'safe' zaidi kutambulishwa hivo kwa marafiki wa jamaa....huwa anajua ni wangapi wanatambulishwa hivyo ukiacha yeye?
 
Tangu nilipoamua kuanza serious relationship iliyonipelekea kwenye ndoa hadi leo hii sijawahi kuwa introduced namna hiyo coz its so obvious there is no entry. Hata before marriage sikuwahi kuchukua mume wa mtu so it was difficult kujikuta kwenye situation ya aina hii i thank God.
ni wanawake wenyewe tunaotaka haya, we unajua mtu ana mkewe bado unatoka naye kwa maana ya mahusiano deep hadi unaishia kutambulishwa hivyo, i don like it a bit.

Kabla hujaamua ilikuwaje? Binamu bana! hahahaha!
 
FL1, nahisi uliyosema ni kweli..ila mi ninachojiuliza pia ni kwamba hii ni trend ambayo inaongezeka...I mean haka kautaratibu hakakuwepo enzi zetu ila sasa hivi 'vijana wa mujini' ndo imekuwa 'kawaida' kutambulishana shemeji wa ukweli na nyumba ndogo vilevile!

Najiuliza ina maana wanawake wanajisikia 'safe' zaidi kutambulishwa hivo kwa marafiki wa jamaa....huwa anajua ni wangapi wanatambulishwa hivyo ukiacha yeye?

Maybe anajisikia raha kutambulika kwa mashemeji anakuwa na security fulani
mie hata sijui inakuwaje hapa
 
Inauma zaidi pale mwanamke anapata mimba nje ya ndoa na anadanganya kuwa ya mme wake,

wiki iliyopita kuna rafiki yangu daktari alijiwa na mshikaji mmoja ili amfanyie abortion manzii mmoja ambaye alikuwa na preg ya huyo mshikaji wakati mumewe akiwa safarini na alikuwa mbioni kurudi. Huyu mwanamke ni mfano tu wapo wengi sana na wenyewe wanatambulishana ivoivo tena mwanamke anakuwa na wivu wa nyumba ndogo yake kuliko hata hom.
 
EEEH eeh mwanamke ana wivu na nyumba ndogo kuliko home nimejikuta nacheka kwa nguvu ....
 
EEEH eeh mwanamke ana wivu na nyumba ndogo kuliko home nimejikuta nacheka kwa nguvu ....

Ujue kwanini inatokea ivo? kama rafiki yako wa karibu anakuwa na hakika kuwa huwezi kumegana na mme wake wa ndoa labda kutokana na mlivoshibana ila nyumba ndogo si anajua na wewe utapata tu chance ya kuwa nae so ni rahisi kumuibia, do 1 thing FL1, embu jaribu kuchekacheka na shemeji nyumba ndogo unaweza ukawa not serious ili uone manake ukiwa serious unaweza megwa kiukweli manake vidume vingine kula boga majani yake na maua sio ishu
 
kwa nini na mie nikubali kama najua huyu ni shemeji yangu
na nyie si huwa mnadanganya ni viumbe dhaifu?
 
kwa nini na mie nikubali kama najua huyu ni shemeji yangu
na nyie si huwa mnadanganya ni viumbe dhaifu?

ttehe tee the tee kumbe unakubali kuwa hata kama ni nyumba ndogo ni SHEMEJI, si lazima ukubali nilitaka ufanye 4 trial ili uone reaction ya rafiki ako, udhaifu ni sawa na msemo wa kiswahili KILA MBUYU NA SHETANI WAKE, unaweza ukamchomolea A tena kwa maneno ya nyodo then ukamkubali B tena kama anaua sisimizi au haipo hiyo?
 
Hehehehe unataka unikatishe tamaa? mi nimesha soma mchezo dawa kuoa mwanamke mwenye sura mbayaaaaaa kama anapuliza moto wenye moshi mzito.

Hakuna mtu mmbaya wa sura ni mazingira tu, kama utampenda na kumpa kila kitu anachostahili mwanamke atapendeza na kuwa mrembo...house maid wangapi wanakujaga na sura kama vile wanajiandaa kupiga chafya lakini after 2 months wazuri sawa na mama mwenye nyumba??
 
kwasababu wanaume are like brothers, wanaona sawa coz they are doing the same
 
haisaidiii hiyo wenye kazi zao hawaangalii sura

Mkuu inasaidia sijui labda yeye awe anawatongoza

Hakuna mtu mmbaya wa sura ni mazingira tu, kama utampenda na kumpa kila kitu anachostahili mwanamke atapendeza na kuwa mrembo...house maid wangapi wanakujaga na sura kama vile wanajiandaa kupiga chafya lakini after 2 months wazuri sawa na mama mwenye nyumba??

Hahahahaha mpwa umeniacha hoi hapo ana sura kama anajiandaa kupiga chafya hahaha
 
Katabia kenu huwa sikapendi/hatukapendi ka kulindana

huwa mna ubavu gani unakuwa na mke na marafiki zako wanamjua kama shem wao lakini bado ukiwa na ma G/F unawatambulisha marafiki zako " shemeji yenu " kutana na shemeji yako
nao wana accept na kuanza muita shemeji hai-make sense !!!!!!!!
FL1

mama, haya mengine yanakuja bila kupanga mazee, sometimes mtu anakutwa kwenye situation... mwingine unakuta ni mapenzi yameisha kule hom kwa hiyo hajali... Lakini nadhani njia pekee ya kukomesha huo m-boreko ni nyie akina dada kuongoza jahazi kwa kukataa kutumika hivyo. huwa hili linatutia sana hasara akina baba na tatizo linazidi kuongezeka

Yaani unakuta kadada na kenyewe kanakeua meno kakishangilia kuliwa kama spare tyre bana!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom