Wanaume someni hii stori. Mkijifanya wapole mnadharaulika...

Kuna jamaa walikuwa wakipiga soga kijiweni,kila mmoja akawa anajisifu kuwa mkewe hamwambii kitu anatembeza mkong'oto kwa sana.Basi mmojawapo alikuwa hapindui kwa mkewe,alivyotoka pale baada ya kupata somo jinsi ya kumdhibiti mke akaelekea nyumbani,ile anaingia tu mke kaanza kuwaka kisa kachelewa kurudi.Jamaa hakumkawiza akampa kisago cha nguvu,mke akafungasha akasepa.Basi jamaa akatoka ili aende nyumbani kwa jamaa akamwadithie alivyomtia mke,ile anaingia akamkuta mshikaji anaosha vyombo huku anaangalia maharage yasiungue wakati huo mkewe anasoma gazeti la udaku na kuchat.Jamaa aliyemtwanga mkewe akamuuliza vp tena?si ulisema ww hufanyi huu upuuzi?jamaa akamwambia yale ni maneno ya kijiweni huku akiingia ndani kumletea mkewe maji ya kunywa.(akili za kuambiwa changanya na zako)
 
Kweli nimeamini kuwa kunguru hafugiki............ yaani unampata mtu wa kukusikiliza bado inakuwa taabu tena!!!!!!!!!!
duh............... hii kali.
Ila uwe makini na huyo dada inawezekana anatengeneza huo udhaifu kama njia ya kukufanya mrudiane nae, si unajua tena huwa hawawezi kusema live!!!!!!! (Ni mtazamo wangu tu)
 
Hapana. Kurudiana nae haiwezekani tena maana mi nshaoa, na hatukuachana kwa ubaya. Na elewa kwamba bado sisi ni watu wa 'karibu sana'. Huyu mdada nimemtumia tu kama mfano, lakini ndiyo hulka ya wanawake wengi. Ukiwa mtu mpole mno kwa unawaboa...
 
Nimekuwa namshauri mambo mengi... na katika hili siku zote namshauri asimdharau wala asiwaze kumuacha jamaa, eti kwa sababu ni mpole...
Kimsingi hufai kuwa mshauri/rafiki kwa sababu wewe ni Mzinzi na Muasherati na mwanamke ni hawara yako kama ulivyokiri utawapotosha na kuingilia mipango kwa uchochezi !
 
Kuna jamaa walikuwa wakipiga soga kijiweni,kila mmoja akawa anajisifu kuwa mkewe hamwambii kitu anatembeza mkong'oto kwa sana.Basi mmojawapo alikuwa hapindui kwa mkewe,alivyotoka pale baada ya kupata somo jinsi ya kumdhibiti mke akaelekea nyumbani,ile anaingia tu mke kaanza kuwaka kisa kachelewa kurudi.Jamaa hakumkawiza akampa kisago cha nguvu,mke akafungasha akasepa.Basi jamaa akatoka ili aende nyumbani kwa jamaa akamwadithie alivyomtia mke,ile anaingia akamkuta mshikaji anaosha vyombo huku anaangalia maharage yasiungue wakati huo mkewe anasoma gazeti la udaku na kuchat.Jamaa aliyemtwanga mkewe akamuuliza vp tena?si ulisema ww hufanyi huu upuuzi?jamaa akamwambia yale ni maneno ya kijiweni huku akiingia ndani kumletea mkewe maji ya kunywa.(akili za kuambiwa changanya na zako)
Hii ni kama moja ya hadithi za yule Bibi wa TBC1 anayehadithia watoto wa primary schools au ndio ushauri wako unaompa m.k.w.e.r.e ndipo anautumia kuongoza nchi! Duh! Too low and very sad for matured intellectuals!
 
Kimsingi hufai kuwa mshauri/rafiki kwa sababu wewe ni Mzinzi na Muasherati na mwanamke ni hawara yako kama ulivyokiri utawapotosha na kuingilia mipango kwa uchochezi !

Kama mi nna diploma ya uzinzi, probably we utakuwa na PhD...
 
Masculine (synonyms Male sex) - possessing qualities or characteristics considered typical of or appropriate to a man, originate from the word 'Muscle'...Msuli!

Man = Msuli....just thinking aloud! Preta yuko sawa....no msuli = no man! Why do you think strong muscular men who hit the gym are considered 'sexy'!?
 
Sure, although not always... Some men are very minute, yet very aggressive, and they win lot of beautiful galz
 
Huyo jamaa hajui...............................!!
Siku moja anatakiwa akusanye na ayaweke masufuria na vikombe kitandani ..........................!!
Mke akija atapata somo wala hana haja ya kumkoromea...........................!!!!
 
Unakua mpole,lakini siku akikosea,un react accordingly.....au kukitokea suala linalohitaji reaction,you do it accordingly,kama vipi hata vibao unamchapa tu...
 
Back
Top Bottom