Wanaume someni hii stori. Mkijifanya wapole mnadharaulika...

Ramos

JF-Expert Member
May 13, 2010
498
130
Yupo mdada fulani ambaye alikuwa demu wangu before. Kutokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo wetu ilibidi tuachane pale alipopata mwanaume mwingine, lakini tukabaki marafiki na watu wa karibu sana. Huyu mdada amekuwa akinipa stori nyingi sana kuhusu huyu jamaa 'handsome'. Demu anasema ingawa jamaa ni mzuri, ana heshima, ana hela kiasi chake (mdada hasumbuki mambo madogo madogo na ada), na anamridhisha kiasi fulani kitandani, still anamwona kama sio mwanaume aliyekamilika. Kisa ni kwamba huyu jamaa ni mpole sana, kiasi kwa pamoja na kuwa na uwezo mdogo wa kuargue na watu mtaani, lakini pia huyu mdada anamkoromea mara kwa mara.
Mara kadhaa huyu mdada anakuwa amemkosea jamaa (including kumcheat), lakini jamaa akitaka kumaind, mdada anakuja juu jamaa ananywea!!! Huyu mdada anasema hajisikii furaha sana kuwa na mtu kama huyu, kwani anahisi baadae wakioana hatajisikia kuwa na 'mwanaume' ndani!!!
huwa namwuliza kama anataka huyo jamaa yake awe anamchapa vibao, mdada anasema hapana, but anataka awe na uwezo wa kumkoromea, kuwa na msimamo na kumuamrisha, pale wanapotofautiana, au anapotofautiana na watu wengine barabarani, anapenda aone mwanaume wake anaonyesha kaubabe fulani!!!

Wanawake bana... tukiwa wakali shida, tukiwa wapole shida!!!
 
Ndo hapo watu wengine huamua kupiga wake/girlfriends zao ili kuonyesha tu kwamba yeye ni mwanamme.

Not condoning that, lakini wanawake wengine ndo wanapenda hivyo.
 
sasa huyu dada anafanya makosa ili akoromewe??

Kweli punda haendi bila fimbo.
 
sasa huyu dada anafanya makosa ili akoromewe??

Kweli punda haendi bila fimbo.

Namshauri arejee kwenye uzi wa Babu Dc ili ajue mwanaume wa kiafrika anatakiwa aweje.................Ni ukweli ulio wazi wanawake wengi hawapendi mwanaume mpole sana, wanataka mtu atakaye waonyesha kwamba kuna kiongozi hapa na hakuna upuuzi unaoruhusiwa...........Utashangaa JITU korofi lina ndoa ya zaidi ya miaka 20
 
Last edited by a moderator:
anakueleza matatizo ya BF wake ili wewe ufanyeje.....au anatafuta namna ya kukurudia

Nimekuwa namshauri mambo mengi... na katika hili siku zote namshauri asimdharau wala asiwaze kumuacha jamaa, eti kwa sababu ni mpole...
 
Back
Top Bottom