Wanaume someni hii stori. Mkijifanya wapole mnadharaulika...

sasa huyu dada anafanya makosa ili akoromewe??

Kweli punda haendi bila fimbo.

Si yeye tu, chunguza vizuri utagundua ukweli, wao hufikiri kuwa usipomkoromea hauna future nae, akili yao imeelekezwa hivyo, usipoangalia unaweza kuta anakutuma maji ya kunywa, "Dear naomba uniletee maji ya kunywa nimechoka sana". Ukimletea utakuwa umemkwaza sana, mwambie hivyi humu ndani wanaume tumekuwa wangapi, acha mambo yako ya ajabu hebu nyanyua makalio ukalete, utaona anacheka, na kunyanyuka na kuleta maji, comments utakayosikia baada ya hapo, yaani nyinyi wanaume hampendi kabisa tuwatume. (hilo neno nyinyi wanaume!!!) kwa nini asiseme yaani wewe mpenzi wangu/mme wangu hupendi kabisa nikutume, anatuma general kwa kuwa wao wanafahamu tayari kuwa wanaume hawapendi kutumwa,
 
Hao mnaosema wapole ndio huwa wabaya, siku akikasirika anaweza kuua kabisa.
 
Duu makubwa! Sidhani kama ana kwambia ukweli kama upole ni sababu ya kumcheat!

Duuuh human beings are so complex
 
Kila kitu kinapaswa kufanywa with the right balance. Tatizo kupata iyo balance, ukizidisha command wanakuona mbaya, ukiwa mpole sana wanakuona *****. Kitu muhimu ni kuwa firm kwenye issues muhimu.
 
women!! you can't live with them and you can't leave without them.
 
That's true but haibadilishi ukweli kwamba ukiwa mpole demu anaboreka na wengi wao hawapendi wanaume wapole according to my experience. Nilikuwa na demu wangu tuliyedumu naye muda mrefu ila tukaja kuachana, hatuwezi kurudiana ila huwa tunawasiliana kwa simu na huwa ananiambia jamaa yake wa sasa hivi anamBoa simply because anafanya kila kitu anachoambiwa na huyu demu. Hamsumbui kama mimi nilivyokuwa namsumbua. Ndo maana mimi huwa nawasumbua na wananipenda kichizi na ninao wengi hadi nawapunguza.

kuwa na magarz wengi ni ufalla tu wala sio ujanja.
 
ayiii wewe.....si ashasema huyo kaka ni goi jamani....
huyo kaka anawezaje kuvumilia usaliti, au amesoma ile uzi wa uvumilivu ya gfsonwin akadhani ndiyo maisha yalivyo. ataumia. maybe he thinks he can't get a better woman than the one he has now which is sad bcoz she sounds like a b---h
 
Kila kitu kinapaswa
kufanywa with the right balance. Tatizo kupata iyo balance, ukizidisha
command wanakuona mbaya, ukiwa mpole sana wanakuona *****. Kitu muhimu
ni kuwa firm kwenye issues muhimu.

hapo umemaliza
 
Back
Top Bottom