Wanaume njoon mtoe jibu

Blackman

JF-Expert Member
Mar 11, 2012
827
296
SWALI KWA WANAUME:
Je ni wangapi humu JF mnaoweza kufanya kazi ngumu kama ya kufyatua tofali za block,kubeba zege,kupasua mawe NK. halaf hela jion mkahonge kwa dada poa au mademu zenu?
 
Mbona tupo sana.........tunalima vitunguu........tunapeleka Kenya........tunauza........tunarudi kula bata na warembo..........
kwani kuna shida gani............
 
Humu humu wapo wengi sana, cha msingi hapa SI HAKI KUTATHIMINI mtu katika matumizi yake. Angekuwa anasaidiwa mtu katika kazi anazozifanya ziwe ngumu au rahisi ingekuwa halali kumtolea hoja katika matumizi yake! Mwache mtu na matumizi yake kwenye jasho lake! PILIPILI IKO SHAMBA UNAWASHWA NA NINI ??????
 
Wewe unahangaika kupasua tofali mchana kutwa ,badala ya kuweka akiba ama ku"invest" una honga yote kwa lisaa?....lo!

Mwafrika kwa ubora wake.
 
SWALI KWA WANAUME:
Je ni wangapi humu JF mnaoweza kufanya kazi ngumu kama ya kufyatua tofali za block,kubeba zege,kupasua mawe NK. halaf hela jion mkahonge kwa dada poa au mademu zenu?

Usipotoa unaambiwa una mkono wa birika....
Wana mentality kwamba wao ni wa kupewa.....
Sasa nashindwa kuelewa utapewa tu hivi hivi as a random act??
Na huyo anayekupa ana invest akiona investment is not worth doing he gonna dump your sorry ass...
But well kutoa ni moyo haijarishi umepataje cash so na wewe unayepewa uwe na shukrani si kulinganisha kipato cha mbeba zege na afisa wa serikali au mfanyakazi aliye ajiriwa somewhere .....
Kama ni kulinganisha be rational other wise relax....


To give is to love!
Viva poverty!
 
kwani wale wa mererani hawaongi?we unaona kufyatua tofali ni kazi ngumu?umekulia masaki nini?hata kuvunja biscuti unamwita dada wa kazi?

Hahaaaa! Halafu anapigwa na magazeti badala ya fimbo
 
Kazi ngumu kama hizi?
 

Attachments

  • 1440524966151.jpg
    1440524966151.jpg
    35.4 KB · Views: 305
Mbona tupo sana.........tunalima vitunguu........tunapeleka Kenya........tunauza........tunarudi kula bata na warembo..........
kwani kuna shida gani............

Huyu anatupimia, hajui tukitoka mererani tunafa"ga" ni town.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom