Tosha
Member
- Aug 18, 2011
- 72
- 19
Wadau nimeongea na baadhi ya wanandoa na kwa kiwango kikubwa wanawake wamekuwa wakiwatupia lawama wanaume kwamba si wavumilivu na waelewa inapokuja suala la KUJAMIANA,wanaume wakihitaji ngono kutoka kwa wake zao au wapenzi na pengine wakiwa wamelewa ndo balaa zadii hawajari tarehe au siku za hatari au za kutungwa mimba! hali hii imepelekea wanawake wengi kushindwa kuhimili njia za asili za uzazi wa mpango na hivyo watoto wengi wa kwanza na wa pili huwa wamebebana(hawajatotafautiana sana kiumri).
Suluhisho limekuwa kutumia njia za kisasa za uzazi wa mpango(artificial methods of family planning) hasa vidonge na sindano ambavyo navyo vinadaiwa kuchangia kwa kiasi kikubwa kuwananinepesha wanawake wengi na hata vatambi vingi ni matokeo ya njia hizo ambazo zinagharimu uzuri wa umbile la wanawake wengi au wanawake wengine zianwadhoofisha kiafya au kuwakondesha.
Wanaume ni kweli hakuna uvumilivu na uelewa unapoambia NO katika suala la NGONO kwa mwenzi wako kwa sababu ya tarehe mbaya? Wanawake ni kweli kwa kiasi kikubwa mnalazimika kutumia artificial methods na pia vitambi na kunenepiana vinasababishwa na sindano,vidonge au vijiti vya uzazi wa mpango?