Mimba ni biashara kubwa mjini

TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

JF-Expert Member
Dec 1, 2010
5,723
10,227
Kwa sisi wakazi wa jiji la maraha, jiji la bandari tunakubaliana kitu kimoja, jiji letu lina watu wengi wenye matatizo ya nguvu za kiume na low sperms count, yaani wanaume ni wagonjwa kuliko wanawake kwenye afya ya uzazi.

Sasa basi, kumekuwa na madalali wanawakutanisha wanaume wenye màtatizo ya uzazi na wanawake wenye mimba wasio na mababa zao.

Dalali anakula, mama anakula na Baba anafaidika kisheria. Kujipatia mtoto asiye wake.

Mijidudu ya Uswazi ime take advantage, unahudumia mimba, mwisho wa siku dada anajiunga kliniki tatu, hiyo ndiyo changamoto.

Play smart
 
Hii ishu ipo wapi?
Kuna pisi kali hapa katiwa mimba mwanaume kaikataa na kaondoka kabisa mjini. Nadhani angempata mtu wakuihudumia angefarijika sana. Maana anasema kuilea hawezi na kuitoa anaogopa ndio kwanza mwezi mmoja
 
Back
Top Bottom