Wanaume na nywele za sehemu ya siri

kwanza pole kwa jamaa yako kuwa hivyo, ujue wanaume wote sio kama huyo wa kwako, nguo ya ndani ni kama hizi za kawaida tunabadilisha kila siku, hivi unawezaje kurudia nguo ya ndani marambili...? hebu kuwa muwazi kwa mwenzio ajitahidi kwa usafi! ikiwa vipi mnunulie nyingine.
Au hebu mpangie hizo mara nne kwa wiki....

Asante mkuu
 
hivi nyinyi vijana kwanini utafute boxer hauwezi kwenda kamando?
mimi nikiishapiga msuli wangu sina hata boxer upepo mwanana wa mwambao na kengelele zikigongana hebu jaribuni muone
 
Una muda wa kuingia kuchat jamii forum afu unaniambia huna muda wa kuoga ubadili boxer? u gotta be joking man! au hiyo profile pic yako huyo mzee ni wewe nini? nunua boxer msela acha kutumia hela jamiiforum afu unalia kuvaa boxer moja kila siku
ww dogo wa ndalichako wa ajabu yani unaandika kitu alf punde tu unasahau? uliandika mwanaume avae boxer 10 kwa wiki sasa hapo unazivaa vp? si lzm uwe umekaa hm tu unasubili kubadilisha hiyo boxer? alf mm sio msera pu m b vu ww
 
Ukitukana haulipwi ndugu, haina shida kuniita pu m v vu... nimeamua kurudia kama ulivyoandika, we si ndio mwenye akili dunia nzima, mkuu nilisema angalau 7 ikiwezekana hata kumi, seems u don't understand that statement correctly... Haha! usidhani hayo matusi yatakupeleka sehemu, na niliandika msela sio msera, so probably one of those guys hata lugha mziki!! wasting my time with u man... Grow up, soma au fanya kazi kama ulifeli acha matusi, achieve ur dreams kwanza maana walioachieve hawatukani kijingajinga hivo na sio wachafu
 
Duuuh hii ni nourma mtuzima huyo ujue!
 
Back
Top Bottom