Nini faida ya nyele sehemu za siri kwa wanawake na wanaume?

Shocker

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,946
3,820
Ipo hivi, zile nywele za sehemu husika zina faida au hazina faida?

Nimeuliza watu wa karibu wamekuja na majibu tata, eti kuwa uyaone (sentensi ninayoichukia kushinda zote duniani).

Ninavyofahamu unasomeshwa na ndipo unakuwa mbobezi. Haya wenye elimu tupeni ushuhuda iliyonyolewa au iliyokuwa na nywele aka kichaka.
 
Nini faida ya haya na ipi Nzuri kwa pande zote wake au waume ,
Ipo hivi yale manywele ya sehemu husika yana faida au hayana faida ?
Nimeuliza watu wa karibu wamekuja na majibu tata,eti kuwa uyaone (sentensi ninayoichukia kushinda zote duniani), ninavyofahamu unasomeshwa na ndipo unakuwa mbobezi.
Haya wenye elimu tupeni ushuhuda iliyonyolewa au iliyokuwa na manywele aka kichaka,
Kuwa uteseke na dunia
 
Ipo hivi, zile nywele za sehemu husika zina faida au hazina faida?

Nimeuliza watu wa karibu wamekuja na majibu tata, eti kuwa uyaone (sentensi ninayoichukia kushinda zote duniani).

Ninavyofahamu unasomeshwa na ndipo unakuwa mbobezi. Haya wenye elimu tupeni ushuhuda iliyonyolewa au iliyokuwa na nywele aka kichaka.
Kuwa uelimike!!!!
 
Wakati mwingine ukubaliane tu na maumbile yako. Vipi kama ungeumbwa na nywele/manyoya mwili mzima kama ilivyo kwa wanyama wengine?
 
Ipo hivi, zile nywele za sehemu husika zina faida au hazina faida?
Kila unywele mwilini una kusudi lake, ila kutojua umuhimu na thamani ndiko kunatufanya tuzinyoe, ukitazama watu walioishi zamani kama Wafalme, Makuhani, Manabii na Mitume hata wasomi akina Plato and the like hawakunyoa

1695819123327.png

Plato

1695819159999.png

Socrates

1695819216325.png

Yusufu Baba wa Yesu

1695819319381.png

Mfalme Herode
 
Back
Top Bottom