Wanaume jf wamepewa libwata............

hahahaha tatizo ukiwz unanimix nikianza kumiksika tu unabadilisha mada loh....

We mkali !
Ile mix-cockmkia ya jana uliileta eneo muafaka hasa! Nilisahau tu kukwambia "Shkamoo"
btw ikakutana namie ni Mafya! Kabla haijashuka nikaifata juu na kuibatua!
 
aaah kumbeeee nishajua

Ushajua nini ?
Afu maswali yangu unayavalia mawanimbao?
Nimekuuliza nitajie aliyenilimbwata mie umepiga kimya!
Btw hivi unajua hua hakuna Mwanamke mjanja kwa Mwanaume?
Tena hii ni a particular msg kwa wanawake wote wa hapa Jf.
 
Sasa bu ummu kulthum hata dume mimi pia nafanania kupewa ama kulishwa hiyo mijani unayoiita limbwata?
 
Last edited by a moderator:
@Young_Master my x, hebu nikumbushe ile taarabu ya MANENO YA MKOSAJI ILIIMBWA NA NANI TENA??? za jumapili lakini? chit chaters wazima nyiee?? nimewamisije kha!

Ynai mimi na wewe kutalikiana ndo imekuwa kosa hadi unanigeuza mimi mzee Yusuph? mie sio mzima cacico. bado naumwa sana. JF, my OC na my mom ndowafariji wangu pekee waliobakia katika maisha yangu.
 
Last edited by a moderator:
Ushajua nini ?
Afu maswali yangu unayavalia mawanimbao?
Nimekuuliza nitajie aliyenilimbwata mie umepiga kimya!
Btw hivi unajua hua hakuna Mwanamke mjanja kwa Mwanaume?
Tena hii ni a particular msg kwa wanawake wote wa hapa Jf.

etiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii????????????????
 
ulinikatili sana aiseee...
mie ndo nilikuwa nimekaa mkao wa kumix na kukoroga pale..
next time itabidi nije na mkakati mpya...

We mkali !
Ile mix-cockmkia ya jana uliileta eneo muafaka hasa! Nilisahau tu kukwambia "Shkamoo"
btw ikakutana namie ni Mafya! Kabla haijashuka nikaifata juu na kuibatua!
 
Last edited by a moderator:
Ushajua nini ?
Afu maswali yangu unayavalia mawanimbao?
Nimekuuliza nitajie aliyenilimbwata mie umepiga kimya!
Btw hivi unajua hua hakuna Mwanamke mjanja kwa Mwanaume?
Tena hii ni a particular msg kwa wanawake wote wa hapa Jf.

mi naogopa kumtaja ntasutwa hapa,je naruhusiwa ku pm?af wote wanjanja bana.chezea wanawake ww utakoma leoooo
 
Last edited by a moderator:
Ynai mimi na wewe kutalikiana ndo imekuwa kosa hadi unanigeuza mimi mzee Yusuph? mie sio mzima cacico. bado naumwa sana. JF, my OC na my mom ndowafariji wangu pekee waliobakia katika maisha yangu.

kumbe iko gojwa gojwa ww pole zangu zikufikie hapo ulipo
 
Last edited by a moderator:
Ynai mimi na wewe kutalikiana ndo imekuwa kosa hadi unanigeuza mimi mzee Yusuph? mie sio mzima cacico. bado naumwa sana. JF, my OC na my mom ndowafariji wangu pekee waliobakia katika maisha yangu.
usijali my x, ni upepo tu unakatiza! yataisha kha! salamu kwa wote huko.
 
mi naogopa kumtaja ntasutwa hapa,je naruhusiwa ku pm?af wote wanjanja bana.chezea wanawake ww utakoma leoooo

Humu ukiogopa ni sawa hujitendei haki !
Humu ni "wa mbuzi na ukauzu" ndio kunaongoza ligi .
Kuhusu Pm au Pz iwe Pr mlango u'wazi leta wkt wowote utakapojisikia.
 
Back
Top Bottom