Wanaume jf wamepewa libwata............

watoto wadogo hawajambo ila mtoto mkubwa kaninunia shoti yngu leo cku ya 3
mpe haki yake! mpe kitu cha ladha za wani, mchanganyie na madoido, lazma akusemeshe, ananunia hakimu, wakati ye ndiye mtuhumiwa mkuu??? anchekesha mie! hebu tumia maujanja yaleeeeeeeee, asikuletee mambo ya aibu hapa!
 
Lakini hujanitendea haki da ummu kulthum ... Mwenye zali la kunipata mimi,mpaka akanilimbwatisha nikawa mbendembende hamna humu ndani,hakyanani vile!!<BR><BR>
yaan kwa kusahau ww mara hii umesahau ulivyolibwatishwaga siku ile hadi uchovu ukakuisha wng.
<BR><BR>
 
Last edited by a moderator:
Kuna kitu nilitaka kuconfess leo kule kwenye post ya Eiyer tatizo ni kuwa ilikuwa ni kwa waliofanya cheating. Sasa nitaconfess hapa leo kumuhusu ummu kulthum
 
Last edited by a moderator:
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom