Wanaume: Huwa mnasahau nini kwa ma-ex zenu?

ukiwa nacho huwez kuona thaman ya kitu ila siku huna ndio unajua thaman.
Weng huwa ni ulimbuken tu. Huwa wanafikiri unachompa anaweza kupata kwa mwingine wanasahau kuwa mapenz sio ngono.
Ngono utapata kwa ke au me lkn upendo hutofautiana.
Kiukweli, mkifikia hatua ya kuachana ujue hakuna mapenz. Wanaopendana wanaoana ila weng ni tamaa tu.
Ila pia wapo wanaopendana sana lakini hawaoani!
 
Wanaoume siku zote they miss only one thing kutoka kwa mpenzi wake wa zamani.

And that thing is PAPUCHI..........
Ha ha ha ha....yaani una scroll phonebook kuangalia leo nikaponee wapi....jina la EX linachaguliwa.
 
Hii thread sijaipenda kwasababu inaweka mazingira magumu kwa ma EX....my dear EX tafadhali usisome hii thread.....:):):):):)
Kote sijasoma, nimeingia tu nikaona avatar yako. Wewe rudi tu, me ntakurahisishia mazingira...
 
Wewe una matatizo na usipoangalia utaachwa sana

Wanawake dizaini yako ndo wale wanambana mtu hadi
anashindwa 'kupumua'
mara uko wapi? mara mbona hupokei simu?
mara kapiga,dakika kumi baadae kapiga tena na cha maana hakuna

inaitwa suffocation....wanaume hatupendi suffocation .....

we need 'SPACE'......

Kkukumiss ni kawaida.....anything good huwa tunaki miss
hata msosi wa mama ntilie mzuri uliepita tu mtaa huo kwa bahati mbaya unaweza
kuumiss siku moja...ukarudi mtaa huo huo kutazamatazama kama bado anapika tena

Huyu anatafuta kiki tu si bure...
 
Upo wapi, upo na nani, unafanya nini. Hizi ni triple threat katika mahusiano ya sikuhizi.
 
Back
Top Bottom