Wanaume bana, wanapeeenda kuchungulia

MbuziMzee, naona hujipendi. Pamoja na kuandika ama kuweka picha za ukweli sitoshangaa wakaja watanzania wenzangu kukutukana kisa umeweka uozo uliokithiri hapa nchini. Yaani sielewi kwanini tunakuwa na tabia ya kutokubali ukweli. Huu ni mwaka 2012 na karne ya 21 ujamaa wa kubeza ujinga umeisha, yabidi tubadirike jamani ili tulete mapinduzi hapa nchini.
 
Last edited by a moderator:
Harafu kuna mtu zimeweka "vijisenti" Jersey na Uswisi.

Barrick wanaondosha ngapi? Richmond/ Dowans? Rites?
 
Hawa ni wasanii wa fleva au bongo movie? Nauliza hivyo kwa sababu njaa zao ndizo zinawafanya kulazimisha umaarufu kwa kufanya vitu vya kitoto ili waandikwe.
 
Hivi kwanini hawapendi kuacha nywelezao original jamani.....maana kila mmoja lazime avae wigi.hau hawana nywele asilia
 
Hivi kwanini hawapendi kuacha nywelezao original jamani.....maana kila mmoja lazime avae wigi.hau hawana nywele asilia

Nina miaka kumi najiuliza swali hilo juu ya nywele
Leo hii ukimuona mwanmke ananywele asili utafikiri kashushwa toka mbinguni
 
Pwani hii

376290_337486416337308_458918771_n.jpg

daah! hii inanipa huzuni
 
Du huyo askari aliekuwa anampatia mafunzo yataka moyo,hapo lazima ule yamin la sivo utaharibu utaratibu
 
Hahahaha hiyo kufuli umefungiwa wewe mbuzi usije ukala mchicha

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom