hii dunia haina haki kabisa mungu umejificha wapi baba?malaika wako wanateketea huku?tukisema kikwete na ccm yake ni mbaya wapo watu hutokwa na mishipa ya shingo.dunia inaelekea kuwa mbaya kuizidi jehanam.
Ubinafsi unatumaliza. Twayaona haya na tunafumba macho.
Lkn kwenye hizo picha si wote wanafanyishwa kwa ujira, yapo mazingira mtoto inapaswa ashirikishwe ili asiwe na tabia kama za zomba na MAFILILI ukubwani (za kutegemea kuishi kwa ASANTE NAPE)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.