Wanaume ambao hatujaoa, tukifika miaka 30+ tutajioa wenyewe

Ila wamezalisha vya kutosha mkuu. Yaan mkuu kubali kataa ila madingi yalikua yanaanzisha familia kwa lengle la kuzalisha ndio maana yalikua yanammaindi sana mke anaezaa watoto wa kike tu bila kujali tatizo ni yy au mke. Familia kubwa ndio ilikua na nguvu kiuchumi enzi hizo
Hahaa,

Umenikumbusha kitabu fulani cha miaka ya sabini, cha maisha ya Nyerere.

Sasa yule muandishi alifanya kazi nzuri sana ya kuielezea jamii ya Kizanaki na tamaduni zao, kabla hata hajaanza kumuelezea J.K Nyerere mwenyewe, ili upate kujua Nyerere alitokea jamii gani na maisha yake yalianza kwa mafunzo gani.

Katika kuielezea ile jamii, alielezea ndoa, akasema kuoa wake wengi ilikuwa kitu cha kawaida kabisa, kwa sababu ilikuwa ni njia rahisi ya kuongeza familia iwe kubwa. Na ikitokea mke akaleta wivu au kukataa wake wenza, alionekana mtu wa ajabu kabisa asiyependa maendeleo ya familia.

So, ulivyosema ni kweli kwamba walikuwa wanazidisha nguvukazi ya familia. Na familia kubwa ndiyo ilikuwa fahari.

Unaambiwa baba yake J.K Nyerere alikuwa na wake 22 huko, yani kama anakuwa nao wote pamoja, akikaa kwa mke mmoja wiki mbili harudii mke karibu mwaka mzima.

Hapo lazima asaidiwe tu, maana hamna jinsi!
 
mwanaume hachuji bana labda awe chizi kulingana na takwimu za sasa wanawake wanapenda kuolewa na walo wazidi umri. sema tu mkuu uko sahihi ,mwanaume atazeeka uku mke wake akiwa mbichi so kugongewa itakuwa kama desturi.
 
Ndio kujioa kwenyewe huko mkuu..

Ukisikia mwanaume kajioa ndio yote hayo mkuu
 
Kwa uchungu sana,

Kweli wanawake kwa mabinti wanatuambia tutafute hela , ila amini na waambieni wanaume wenzangu ukifika umri wa miaka 30+ utajua hujui yani hutopata mwanamke wa kuendana na umri wako hatakidogo pale unapo hitaji sasa kuoa serious na kuwa na mke wako wa maisha

Amini na waambieni kila binti mbichi utakae mpenda utakuta mmepishana miaka kuanzia 10, 15, 16, 17 na wengine 18 ,20 au zaidi . Yaani mpenzi wako anakua anakaribia nusu ya umri wako na hiyo ni kweli kabisa na hapa ndipo kujioa sasa, binti mbichi lakini mwanaume unakuta unamvi mpaka kwenye kidevu

Na ukitaka mnae endana umri kidogo wa mpishano wa miaka 4, 5, au 7 amini na waambia mtakuta ni single mother, feminist au mwanaharakati na kamwe huyo hutoweza mtawala

Sasa ni kweli wanatuambia tutafute hela ila angalieni msije mkajioa wenyewe ,
Naandika hivi maana mimi hii ndio inayo nikuta sasa yani kila binti mpishano wa umri sii chini ya miaka 10 ,15, 17 mpaka wanauliza sasa niwe nakusalimia au nikupaje salamu . Inabidi umwambie tuu vyovyote utakavyo ona kikubwa utii na kujielewa..

Mwenye kusikia na asikie na huu ni kwa wale wanaotaka kuoa na siyo kuzalisha na kutoa hela ya matumizi , maana kuzalisha unazalisha yeyote tuu ila kwenye kuoa ndio mtihani. Ndugu zangu Wanawake ni hawa hawa wote wanafanana isipokua tuu wanazidiana ujinga / maarifa tafuta yule utakae wezana nae hatakidogo tuu na hayo ndio maisha ,

Sasa shauri yetu

Wewe endelea kukaza tuu fuvu na kujifanya unatafuta hela na kula mitungi huku ukijifariji maisha ya usingle ni bata
Kuna wimbi jipya limezuka wanawake wanajioa wenyewe pia....

Screenshot_20230531_142309_US Newspapers.jpg
 
mwanaume hachuji bana labda awe chizi kulingana na takwimu za sasa wanawake wanapenda kuolewa na walo wazidi umri. sema tu mkuu uko sahihi ,mwanaume atazeeka uku mke wake akiwa mbichi so kugongewa itakuwa kama desturi.
Actor Al Pacino aliye act katika movie Scarface ana miaka 83 na anategemea kupata mtoto na mpenzi wake binti wa miaka 29.

Rafiki yake Robert De Niro mwenye miaka 79 naye amepata mtoto hivi karibuni.

Wazee wanaendeleza shoo za kibabe mpaka wafie kifuani?

Hawa waliooa agemate zao wanaishia tu kuchepuka. Mwanamke wa miaka 26 anaendana kabisa na mwanaume wa miaka 36. Tena ukiwa na hiyo 30+ na ukatulia kama vile hutaki ndo mademu wanakuja kwa wingi ila haya mambo ya kujipanikisha ni upuuzi mtupu. Mwanamke anazeeka haraka sana.
 
Kwa uchungu sana,

Kweli wanawake kwa mabinti wanatuambia tutafute hela , ila amini na waambieni wanaume wenzangu ukifika umri wa miaka 30+ utajua hujui yani hutopata mwanamke wa kuendana na umri wako hatakidogo pale unapo hitaji sasa kuoa serious na kuwa na mke wako wa maisha

Amini na waambieni kila binti mbichi utakae mpenda utakuta mmepishana miaka kuanzia 10, 15, 16, 17 na wengine 18 ,20 au zaidi . Yaani mpenzi wako anakua anakaribia nusu ya umri wako na hiyo ni kweli kabisa na hapa ndipo kujioa sasa, binti mbichi lakini mwanaume unakuta unamvi mpaka kwenye kidevu

Na ukitaka mnae endana umri kidogo wa mpishano wa miaka 4, 5, au 7 amini na waambia mtakuta ni single mother, feminist au mwanaharakati na kamwe huyo hutoweza mtawala

Sasa ni kweli wanatuambia tutafute hela ila angalieni msije mkajioa wenyewe ,
Naandika hivi maana mimi hii ndio inayo nikuta sasa yani kila binti mpishano wa umri sii chini ya miaka 10 ,15, 17 mpaka wanauliza sasa niwe nakusalimia au nikupaje salamu . Inabidi umwambie tuu vyovyote utakavyo ona kikubwa utii na kujielewa..

Mwenye kusikia na asikie na huu ni kwa wale wanaotaka kuoa na siyo kuzalisha na kutoa hela ya matumizi , maana kuzalisha unazalisha yeyote tuu ila kwenye kuoa ndio mtihani. Ndugu zangu Wanawake ni hawa hawa wote wanafanana isipokua tuu wanazidiana ujinga / maarifa tafuta yule utakae wezana nae hatakidogo tuu na hayo ndio maisha ,

Sasa shauri yetu

Wewe endelea kukaza tuu fuvu na kujifanya unatafuta hela na kula mitungi huku ukijifariji maisha ya usingle ni bata
We
 
Actor Al Pacino aliye act katika movie Scarface ana miaka 83 na anategemea kupata mtoto na mpenzi wake binti wa miaka 29.

Rafiki yake Robert De Niro mwenye miaka 79 naye amepata mtoto hivi karibuni.

Wazee wanaendeleza shoo za kibabe mpaka wafie kifuani?

kweli mkuu tusake pesa mkuu mwanaume hachuji,
 
Tumepiga pande zote, hii inaitwa "home and abroad"
Tumecheza kama pele yaani,cha msingi tusikose vi hera vya kuwa badilishia vi nyama nyama na vimatembele.mi dingi alikataa mi kuoa mapema mara ya kwanza sikumuelewa ila sasaivi ndo nimemuelewa.kwamba mwanaume hazeeki hana mipaka ya kuoa,akanitolea mfano wa ibrahim aliekuwa na miaka 90 alimuoa yule kijakazi akampiga mashine na akamzalisha eshmael.chamsingi mwanaume nikuwa na maisha mazuri standard tu, mwanamke hana kauli kwa mwanaume
 
oyaa mkuu nimeghairi na pinga hoja yako rasmi,mwanaume hana garanti ya kuoa .mbona ibrahim alioa ana miaka tisini (kijakazi) baada ya sara kushindwa kuzaa akampiga mashine na akamzalisha eshmael baba wa taifa la palestina,tukija homu babu yangu kaoa binti wa miaka 25 na ana muzalisha kama kawa, tuje mengi alimuoa klyn ,mifano ipo mingi mkuu .mwanaume ni unlimited.labda kwa kee akipita 27
 
Mzee utaishi mpaka miaka mingapi.

Mimi hapa nilipo namtunza Babu yangu although nimemfungulia biashara yake ya duka.

Niliamua aje akae kwangu kwa ajili ya support vile vile

Ukizeeka marafiki zako pekee ni kizazi chako, watoto kama wapo, wajukuu, vitukuu na virembwe.

Haijalishi una pesa au lah!
 
Wanasema life begins at 40,

Pia wanasema Age is just a number

Lakini Ngugi wa Thiong'o alienda mbali zaidi akasema .....

Screenshot_20230601_185806_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom