Wanatufundisha nini??

Fraddle b

JF-Expert Member
Nov 20, 2011
222
18
Hivi hawa the comedy wa EATV wanaosema amevurugwa baba ako,au amevurugwa shangazi yako,amevurugwa babu yako kuna chochote wanachotufundisha hapo kweli?
 
Kuna aina mbalimbali za usikilizaji/ utazamaji. Sio kila unachosikiliza/ angalia ni cha kujifunza. Ndio maana ikaitwa Comedy, usikaze uso kutegemea kujifunza hapo.
Unaweza nijibu swali lifuatalo, Kuna chochote unachojifunzaga kwenye muvi za Mr. Bean?!
 
lakini mr bean hatumii maneno kama ya akina bambo bwana
 
kwa watoto wanafunzwa vizuri na wazazi wao hawawezi kumuona baba yao amevurugwa kwa kuangalia ze comedy,watachukulia ni vichekesho tu.
 
Back
Top Bottom