Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 13,542
- 51,277
Hili ni somo kwa wote wanaodhani Marekani ni kiota cha freedom of speech!
Iko hivi baada ya serikali za Magaharibi kuona kuwa public opinion inashift kwa kasi, ambapo raia wengi waliokuwa gizani juu ya ukatili wa Waisrael kwa wapalestina kwa miaka zaidi ya 70 kuanza kuamka.
Wenye nguvu ndani ya serikali ya Marekani wameona waende step mbele kuvipiga mkwara vyombo vya habari vichuje habari za huko Gaza.
Wamesema kuwa vyombo vitakavyokiuka vitakumbana na mkono mzito wa sheria.
Huu ni ushahidi mwingine kuwa influence ya Zionist kwa serikali ya Marekani ni kubwa kwelikweli.
Na hii itufundishe kuwa duniani hakuna serikali inayopenda uhuru wa habari pale jambo lake linapoguswa. Uhuru wa habari lazima upiganiwe siku zote mahali popote, siyo Tanzania tu hata huko Marekani.
Unaweza kucheki hii taarifa hapa:
View: https://www.youtube.com/watch?v=BCnTtNDqko0&ab_channel=TheYoungTurks