Wanasheria wakuu wa States mbalimbali za Marekani wavipiga mkwara vyombo vya habari visiripoti habari za HAMAS

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
13,505
51,108
Hili ni somo kwa wote wanaodhani Marekani ni kiota cha freedom of speech!

Iko hivi baada ya serikali za Magaharibi kuona kuwa public opinion inashift kwa kasi, ambapo raia wengi waliokuwa gizani juu ya ukatili wa Waisrael kwa wapalestina kwa miaka zaidi ya 70 kuanza kuamka.

Wenye nguvu ndani ya serikali ya Marekani wameona waende step mbele kuvipiga mkwara vyombo vya habari vichuje habari za huko Gaza.

Wamesema kuwa vyombo vitakavyokiuka vitakumbana na mkono mzito wa sheria.
Huu ni ushahidi mwingine kuwa influence ya Zionist kwa serikali ya Marekani ni kubwa kwelikweli.

Na hii itufundishe kuwa duniani hakuna serikali inayopenda uhuru wa habari pale jambo lake linapoguswa. Uhuru wa habari lazima upiganiwe siku zote mahali popote, siyo Tanzania tu hata huko Marekani.

Unaweza kucheki hii taarifa hapa:

View: https://www.youtube.com/watch?v=BCnTtNDqko0&ab_channel=TheYoungTurks
 
Wapo sahihi, huwezi kuwapamba Hamas wanaoweka maisha ya wapalestina hatarini.

silaha za kurusha makombora wanaziweka kwenye makazi ya watu, misikiti, shule, n.k. wanafanya hivi maksudi ili watumie raia wema kama ngao, Makombora yakianza kurushwa kwenda kuwaua waisrael, Jeshi la Israel likilipua majengo yenye silaha wao wanarekodi wapalestina waliolipuliwa, wanaficha ukweli kwamba waliwkuwa wanarusha makombora kwenye majengo ya makazi ya watu.

Vuta picha huu mtambo unarusha roketi kama 20 kwa dakika na ni juu ya ghorofa la makazi ya watu, Makombora hayo yanaenda kuua waisrael, hapo Israel wakilipua jengo lenye mtambo huo ili kunusuru maisha ya waisrael na wapalestina wanaolipukiwa na makombora yasiyofika Israel, wa kulaumiwa ni nani ?

silaha za kurusha makombora wanaziweka kwenye makazi ya watu, misikiti, shule, n.k. wanafanya hivi maksudi ili watumie raia wema kama ngao.
Hizo propaganda za mashoga zimeishapitwa dunia inaelewa kila kitu kwa sasa zamani media zote zilikuwa za magharibi sasa dunia imebadilika watu wanapata habari kupitia media zingine ambazo siyo za propaganda.
 
Attachments

  • IMG_7439.jpeg
    IMG_7439.jpeg
    28.2 KB · Views: 1
Hakuna uhuru wa habari usio na mipaka popote duniani huwezi kwenda Makka au Madina ukahojiwa na chombo Cha habari ukasema Mtume Mohamed alikuwa anakula nguruwe wakakuacha salama

Pia huwezi kwenda Israel ukaandika kwenye gazeti kuwa Hitler aliyeua wayahudi zaidi ya milioni 6 alikuwa mtu mzuri

Marekani serikali inatambua kundi la Hamas kuwa kundi la magaidi ndio msimamo wa Marekani Sasa hapo unatarajia Nini? Waruhusu ? Wakati hawajasahau walichofanyiwa na magaidi Wakati ule Kwa kubomoa September 11?
 
Umekua braiwashed na western media au umeamua tu kujifyatua akili kwa chuki zako za udini.
Mtu anaweka silaha za kufyatua makombora juu ya jengo la makazi ya watu, unategemea Israel wafanye nini silaha hizo zikianza kurusha makombora yanayoenda kuilipua Israel na kuua waisrael ??

Kwanini wasifyatulie makombora huko misituni badala yake wanafyatulia sehemu zenye raia wema ?
 
Hakuna uhuru wa habari usio na mipaka popote duniani huwezi kwenda Makka au Madina ukahojiwa na chombo Cha habari ukasema Mtume Mohamed alikuwa anakula nguruwe wakakuacha salama

Pia huwezi kwenda Israel ukaandika kwenye gazeti kuwa Hitler aliyeua wayahudi zaidi ya milioni 6 alikuwa mtu mzuri

Marekani serikali inatambua kundi la Hamas kuwa kundi la magaidi ndio msimamo wa Marekani Sasa hapo unatarajia Nini? Waruhusu ? Wakati hawajasahau walichofanyiwa na magaidi Wakati ule Kwa kubomoa September 11?
Mfano wa kishoga huu.
 
Una umri gani? hizo propaganda za kipumbavu zilisha pitwa na wakati,mmebakia wajinga wachache tu kama wewe ndio mnaaminishwa hizo propaganda,

USA na washirika wake walisema Sadam Hussein ana silaha za WMD wakavamia na kuua watu,hizo silaha hawakuzipata mpaka leo,Tony Blair aliadmit kua walifanya makosa,ila watu kama wewe sio rahisi kuwabadili kifikra coz akili imesha ganda.
 
Mfano wako ni wakipumbavu na hauna maana.
 
Hizo propaganda za mashoga zimeishapitwa dunia inaelewa kila kitu kwa sasa zamani media zote zilikuwa za magharibi sasa dunia imebadilika watu wanapata habari kupitia media zingine ambazo siyo za propaganda.
Hmas wanarusha roketi juu ya maghorofa ya Gaza ambayo ni makazi ya watu, na hata wao huwa wanaposti kwenye channel yao ya telegram na kujifia kwamba makombora yatafika Israel.

Una umri gani? hizo propaganda za kipumbavu zilisha pitwa na wakati,mmebakia wajinga wachache tu kama wewe ndio mnaaminishwa hizo propaganda,

USA na washirika wake walisema Sadam Hussein ana silaha za WMD wakavamia na kuua watu,hizo silaha hawakuzipata mpaka leo,Tony Blair aliadmit kua walifanya makosa,ila watu kama wewe sio rahisi kuwabadili kifikra coz akili imesha ganda.
Hmas wanarusha roketi juu ya maghorofa ya Gaza ambayo ni makazi ya watu, na hata wao huwa wanaposti kwenye channel yao ya telegram na kujifia kwamba makombora yatafika Israel.

Kuna upotoshaji mkubwa kwenye hii vita.
Kuna watu wamebaba mdoli umefunikwa sanda na kuutembeza barabaran ili kupata huruma.
Israel imezidiwa kwenye propaganda, majihadist and their idiots sympathisers wanatumia Tick tock kupata huruma huku IDF wanatumia Twitter kufafanua kila uwongo end of the day tick tockers wanaibuka washindi.
Uko kwenye tick tock kuna watu wengi na wengi na yale maziro brain yamejazana uko.. Yakiona kila video ya Gaza yanajua ni kweli kumbe fix ili kupata huruma.
 
Umeandika kwa hasira na chuki utafikiri umechukuliwa mumeo.
 
Kma
Wapo sahihi, huwezi kuwapamba Hamas wanaoweka maisha ya wapalestina hatarini.

silaha za kurusha makombora wanaziweka kwenye makazi ya watu, misikiti, shule, n.k. wanafanya hivi maksudi ili watumie raia wema kama ngao, Makombora yakianza kurushwa kwenda kuwaua waisrael, Jeshi la Israel likilipua majengo yenye silaha wao wanarekodi wapalestina waliolipuliwa, wanaficha ukweli kwamba waliwkuwa wanarusha makombora kwenye majengo ya makazi ya watu.

Vuta picha huu mtambo unarusha roketi kama 20 kwa dakika na ni juu ya ghorofa la makazi ya watu, Makombora hayo yanaenda kuua waisrael, hapo Israel wakilipua jengo lenye mtambo huo ili kunusuru maisha ya waisrael na wapalestina wanaolipukiwa na makombora yasiyofika Israel, wa kulaumiwa ni nani ?

View attachment 2834609
Umewahi kuona habari za aljazira? Wao ni Hamas tu, Israel wanaipa muda mchache sana kama kujikosha tu.
Hili ni somo kwa wote wanaodhani Marekani ni kiota cha freedom of speech!
Iko hivi baada ya serikali za Magaharibi kuona kuwa public opinion inashift kwa kasi, ambapo raia wengi waliokuwa gizani juu ya ukatili wa Waisrael kwa wapalestina kwa miaka zaidi ya 70 kuanza kuamka. Wenye nguvu ndani ya serikali ya Marekani wameona waende step mbele kuvipiga mkwara vyombo vya habari vichuje habari za huko Gaza. Wamesema kuwa vyombo vitakavyokiuka vitakumbana na mkono mzito wa sheria.

Back
Top Bottom