Wanasayansi wasema majanga yataoongezeka katika kiwango ambacho hakijawahi kuwepo. Je,tumejiandaa?

Unawaita lunatics wenzako? watu wanaumiza vichwa kuleta mvua jangwani we unawaita lunatics?!!!
Mkuu nawaita lunatics kwa sababu sayansi ilipaswa kumsaidia mwanadamu.Sasa kwa bahati mbaya sana wao wameigeuza kifaa cha kuwaangamiza wanadamu!Mkuu unapo modify weather,unapotengeneza earthquake,unamaana gani mkuu.Si nia yako ni kuangamiza.Na upo ushahidi kwamba wanafanya hivyo mkuu huku wakiendelea kutudanganya kwamba ni natural disasters.
 
Mungu atatunusuru, NJAA, ukame WA Ajira, KAZI bila nyongeza ya mshahara vinatutosha, likija na Hili tutaisha!!!Mungu anabalansi yuko vizuri kwenye chemical equations and Equality pia Equity
Huu uchokozi sasa hahahaahaha
 
Kesho nikisikia kuna mtetemeko Japan sioni ajabu, because ni expected Japan kutokea mtetemeko wa ardhi. Lakini nikisikia Zanzibar kuna volcanic eruption hapo ndo ntaanza kujiuliza kulikoni? kuna jambo halipo sawa, haya ndo hayo mambo ya kwenye vitabu vya dini. Hizo conspiracy theory waachieni wenyewe USA wanapenda hizo story kuhadithiana kama vile wanavopenda michezo ya superheroes
Mmmm,na Biblia nayo ni story za super heroes kwa kuwa Biblia imezungumzia haya mambo wazi kabisa.Hebu jiulize,wakisema Kimbunga Mathew,kinatokea,Tsunami inatokea,can't you connect the dots,ukajiuliza how do they know kama sio issue yao.Na kumbuka, janga hilo linapewa jina hata kabla halijatokea!Please,please, wake up, mmelala sana!
Finally mkuu kumbuka kwamba hawa jamaa hawaleti majanga hovyo hovyo tu,no kila sehemu inaletewa janga linalolingana na mazingira yake!So in Zanzibar,one would expect a Tsunami,sio Earthquake.Hawataki siri zao ziwe wazi sana.
 
Sasa nimeipata point..... kumbe all the time wewe umekuwa ukiamini kuwa hizi disasters anazileta mwanadamu na sio natural kabisa? just because they naming the hurricanes doesnt mean they are bringing them! naming ni for knowledge and research tu, just because Umeitwa Mount Kilimanjaro haimaanishi kuna mtu ameweka huo mlima. Biblical floods je kazileta nani? tukio la gomora na sodoma nani ameliratibu? Use your brain..... Unaweza kunambia where was the source of earthquake engineering ilotokea Bukoba? hizi so called patents ni za juzi tu, hujui tectonic plates? Come on dont be a joke..... ebu nambie, ile Tsunami, kisayansi ilifanywa vipi kama sio natural? look at the scale of the disaster itself, How many countries affected? earthquake is simple, movement of tectonic plates, au una theory kwamba itakuwa kuna bomb lilifukiwa then likawa released? the only bomb ambayo inaweza ikaleta devastation ni Nuclear/hydrogen bomb, na kama limetumika hilo traces can be found
 
Yalitabiliwa zamani lakini bado watu hawana imani kama Mungu yupo na Yesu atarudi tena..
 
Sawa mkuu uko huru kuamini unachotaka,if you believe the Tsunami is natutal fine.Itoshe kusema kwamba science is so advanced now that the world can be pulverized in a second!Tsunami ni cha mtoto mkuu.The destruction power of science is huge. Nadhani tuishie hapo,mimi
matusi sikuzoea.
 
Nimekutusi wap mkuu? Tatizo unaongea jambo as if una full evidence. provide evidence Bukoba quake was man made....... atleast enlighten us with how it is conducted! for educational purpose
 
Sawa mkuu unasema hii ni movie ya 2012,na Biblia nayo jee, inasema uongo?Na unajuaje kwamba muda bado?Kama kweli wewe ni mwana sayansi nadhani unajua kwamba technologies za kutengeneza volcanoes,cyclones and other unfavourable weather patterns zipo.Kama hizo technologies zipo,nadhani wanaweza ku-unleash volcanoes,cyclones etc.as they wish kama wanavyofanya sasa.Au wewe ni wale wanasayansi uchwara wanaoamini kwamba cyclones,volcanoes and other unfavourable weather patterns bado ni natural kama zamani?Mkuu patents za vitu hivyo sio classified tena,zimeshakuwa de-classified,kwa hiyo mtu yeyote anaweza kuziona!

Sasa mkuu kama wanatengeneza hayo majanga,si wangesema tu kuwa tutatengeneza tar fulani?badala ya kujifanya wanatutabiria tabiria tu?na hizo cyclone mbona zinawamaliza wenyewe??
 
Gwajima si aje atutabirie haya majanga yatatokea lini na wapi?wenzetu wanatumia wanna say anti kutengeneza majanga,sie wataalamu wetu wa kutengeneza radi hata hatujui wapo wangapi!
 
Mkuu hii imekaaje mbona siielewi,na Gwajima anaingiaje hapa?
 
Fema nao nndio hao wanaotaka kuimpose martial law, na new world order, mailluminati hao, na hiyo id name yako ndo hixo hizo, propaganda za geoengineering
 
MUNGU IKIWEZEKANA KIKOMBE HIKI CHA MAJANGA KITUEPUKE

nikikumbuka kauli ya baba kule bukoba kuwa majanga hajaleta yy walA serikali yake na watu walipAta msaada baada ya siku kadhaa.sasa likitokea kubwa zaid itakuwa balaaa
 
Kuna mambo kama binadamu hatupendi kuyasikia.. hasa Yale ya kuogofya.. lakini binafsi nakubaliana na wewe kwamba population ya dunia itapungua kwa kiwango kikubwa kwa kile kinachoitwa majanga ya kiasili..Ni suala la kujipanga..Nadhani Bukoba ni mfano tu.
Nmependa....vp human cause......nayo haichangiiii..population decrease?
 
Kwani tetemeko la Bukoba ni la kipekee kutokea tangu mwanadamu kuishi duniani? mi si mwanasayansi lakini ntakwambia 2017 lazima mvua itanesha. ni vitu vinavyojulikana kawaida tu kuwa vitatokea. Hayo mambo sijui marekani kashaingia mkataba na nchi tatu na kumobilize ni mambo yale ya 2012 movie, mataifa makubwa kutengeza mameli ya kuhifadhia watu kama meli ya Nabii Nuhu....... hayo matabirio yaloandikwa katika hio biblia bado kwanza mda wake.....
Mkuu hivi seriously huoni kwamba kuna kitu cha tofauti hapa.To me there is mkuu,kwa kuwa hatujawahi kuwa na tetemeko kubwa kiasi cha kuuwa watu Tanzania.Is this not enough to raise your eyebrows?Ni ajabu mkuu.
 
You are stuck with conspiracy theories but not facts. hivi mkuu hujui kama poles zimeshift? unafikiri huku chini ya ardhi hakubadiliki? unahisi kukitokezea tetemeko the geology haibadiliki? live in reality mkuu, hujui kama kuna active volcanoes? they dont need human interactions to erupt and course quakes. before believing your theories find the geographic reasons why quake in bukoba? Its a warning hio kama chini sasa kunaanza kuwa active kidogo kidogo pande za huko bukoba..... Just think if its man made, why Bukoba and not Dar es Salaam where it is more active?
 
Back
Top Bottom