Wanaowaunga Mkono Mafisadi kwa Lugha zao ni hawa tu?

mmaroroi

JF-Expert Member
May 8, 2008
2,960
544
Angalia Orodha hii na uwaongeze wengine:-
1. Makongoro Mahanga
2. Serukamba
3. Malima
4. Masha
5. Mzindakaya
6. Ngombale Mwiru
7. Sophia Simba
8.
9.
Endelea.................
 
serukamba alihaidiwa uwaziri na lowassa lakini naona hadi leo mambo yamekuwa magumu kanaanza kupoteza tumaini ila lowassa amekalipia ada ya masomo pale esami arusha ndo kanaendelea kusoma ,always kamekuwa kainformer katiifu kwa mafisadi and im sure ni miongoni mwa wanafiki ambao hawatarudi bungeni tena.
 
serukamba alihaidiwa uwaziri na lowassa lakini naona hadi leo mambo yamekuwa magumu kanaanza kupoteza tumaini ila lowassa amekalipia ada ya masomo pale esami arusha ndo kanaendelea kusoma ,always kamekuwa kainformer katiifu kwa mafisadi and im sure ni miongoni mwa wanafiki ambao hawatarudi bungeni tena.
Unafiki huu ndio unaitafuna Nchi hii.
 
mmemsahau anne makinda jamani, jakson makweta japo hali yake mbaya hatarudi tena bungeni labda akasikilize bunge kwenye zile siti za nyuma.
 
Hivi malechela yuko upande gani? hayupo kwenye orodha au yupo upande wetu ndo maana Kingunge anashambulia bila kumtaja eti anatafuta umaarufu hajui mambo ya nchi yeye tu (Kingunge) ndiyo mzee pekee. Alikuwa wapi mpaka kina chenge wanafungua akaunti nje ya nchi yeye anashauri serikali gani?
 
Lets be realistic wana JF. Hivi mtu akitoa hoja yake anaunga mkono ufisadi. Nadhani watu sasa wataogopa hata kusema maoni yao kisa ufisadi. Au ndio tunaanza kuzuia uhuru wa habari. Muda si muda na humu tutaanza kuambizana tunaunga mkono ufisadi. Mf hoja ya PhD inatia mashaka unless anaevidence
 
serukamba ni ovyo sana.kabla hakajaingia bungeni kalikuwa kanawachukia sana mafisadi.Nimekuwa nako maranyingi sana kule sinza wakati kana ishi ktk chumba na sebule kalikuwa kabishi sana.mtoto wa lowasa ndo alikuwa anampigia debe kwa baba yake na kupata ubunge.sasa kamekuwa kama ndondocha.Hawezi pata ubunge tena 2010
 
Edward Lowasa, Rostam Azizi, Luhanjo...etc., mbona list itakuwa ndefu sana???
 
Back
Top Bottom