Kukatika kwa Umeme hovyo na Kunakokera sasa nchini Tanzania ni Jibu tosha kuwa hatuna Kiongozi, bali tuna 'Mbabaishaji' ambaye 'yupo yupo' tu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,654
109,056
Hayati John Pombe Joseph Magufuli najua kama Binadamu ( na ni kawaida Kiumbwaji ) ulikuwa na Mapungufu yako ( ambayo hata Mimi GENTAMYCINE ninayo ) ila Mambo mazuri uliyokuwa nayo na yaliyotufanya Watanzania wengi TUKUPENDE, TUKUKUMBUKE na TUKULILIE kila Siku ni kama yafuatayo.....

1. Hukuwa Mpumbavu wa Kiasili
2. Hukuwa Muoga na Mnafiki
3. Hukuwa Mbabaishaji
4. Hukuwa Mtu wa Kupelekeshwa kama Zuzu
5. Hukulea Upuuzi na Uzembe
6. Ulipambana Kivitendo na Maadui wa Maendeleo
7. Hakukubali kushikiwa Akili zako na Mafisadi na Wapiga Dili wa Tanzania

Taifa haliwezi kuwa katika POWER CRISIS inayotokana na UZEMBE ulioko TANESCO na kuwafanya Watanzania kutokuwa na uhakika wa UMEME kutokana na KUKATIKA KWAKE KUSIKOELEWEKA MARA KWA MARA huku ndani yake kukiwa na HUJUMA KUBWA na KUHUJUMIANA KWINGI halafu kuna Mtu hata HAJALI wala HAUMIZWI na hali hii ( hiyo ) ila yuko busy kuhakikisha Fedha zake za kutafuta Sifa na Umaarufu zinaenda kwa Simba na Yanga akiamini kuwa WAPUMBAVU wengi wako huko na 2025 watamrahisishia njia ya kutoendelea kuwa Dereva Deiwaka na sasa kuwa Dereva Kamili.

INAKERA SANA na HAIVUMILIKI kabisa.
 
Huyo anajua anahujumiwa!

Na hana ujanja anajua power yake kwa cartels in ndogo!!

Amesanda,ameelekeza nguvu binafsi kwenye cheap politics!!

Yaan Anajipambania wakati system imeshikwa na ma godfathers!!!

Ngoja tuone!!
Ukiona Kiongozi akiwa anaongea katika Public na anasema maneno ya sijui, nadhani na naomba jua hapo hakuna Mtu bali tuna Mbabaishaji mtupu na tupo pabaya / kubaya.
 
Hayati John Pombe Joseph Magufuli najua kama Binadamu ( na ni kawaida Kiumbwaji ) ulikuwa na Mapungufu yako ( ambayo hata Mimi GENTAMYCINE ninayo ) ila Mambo mazuri uliyokuwa nayo na yaliyotufanya Watanzania wengi TUKUPENDE, TUKUKUMBUKE na TUKULILIE kila Siku ni kama yafuatayo.....

1. Hukuwa Mpumbavu wa Kiasili
2. Hukuwa Muoga na Mnafiki
3. Hukuwa Mbabaishaji
4. Hukuwa Mtu wa Kupelekeshwa kama Zuzu
5. Hukulea Upuuzi na Uzembe
6. Ulipambana Kivitendo na Maadui wa Maendeleo
7. Hakukubali kushikiwa Akili zako na Mafisadi na Wapiga Dili wa Tanzania

Taifa haliwezi kuwa katika POWER CRISIS inayotokana na UZEMBE ulioko TANESCO na kuwafanya Watanzania kutokuwa na uhakika wa UMEME kutokana na KUKATIKA KWAKE KUSIKOELEWEKA MARA KWA MARA huku ndani yake kukiwa na HUJUMA KUBWA na KUHUJUMIANA KWINGI halafu kuna Mtu hata HAJALI wala HAUMIZWI na hali hii ( hiyo ) ila yuko busy kuhakikisha Fedha zake za kutafuta Sifa na Umaarufu zinaenda kwa Simba na Yanga akiamini kuwa WAPUMBAVU wengi wako huko na 2025 watamrahisishia njia ya kutoendelea kuwa Dereva Deiwaka na sasa kuwa Dereva Kamili.

INAKERA SANA na HAIVUMILIKI kabisa.
Nakubaliana na title ila contents hapana. Magufuli alikuwa hovyo na amefanya hovyo nyingi tunazozilipia sasa na miaka mingi ijayo. Hatuwezi kumsafisha Magufuli kwa miundombinu iliyojengwa wakati wake. Miundombinu imekuwa ikijengwa na utaendelea kujengwa mizuri zaidi siku zijazo.
 
Nasisitiza Hayati Magufuli......

1. Hukuwa Mpumbavu wa Kiasili
2. Hukuwa Muoga na Mnafiki
3. Hukuwa Mbabaishaji
4. Hukuwa Mtu wa Kupelekeshwa kama Zuzu
5. Hukulea Upuuzi na Uzembe
6. Ulipambana Kivitendo na Maadui wa Maendeleo
7. Hakukubali kushikiwa Akili zako na Mafisadi na Wapiga Dili wa Tanzania

Nimemaliza.
 
Unazunguka sana.
Ngoja nikusemehe
Samia achia madaraka, kama Mkurugenzi wa Tanesco na waziri wa nishati umeshindwa kuwadhibiti utawaweza kuwaongoza Watanzania milioni 60?
Achia madaraka Samia
 
Nakubaliana na title ila contents hapana. Magufuli alikuwa hovyo na amefanya hovyo nyingi tunazozilipia sasa na miaka mingi ijayo. Hatuwezi kumsafisha Magufuli kwa miundombinu iliyojengwa wakati wake. Miundombinu imekuwa ikijengwa na utaendelea kujengwa mizuri zaidi siku zijazo.
Elezea hayo ya ovyo tuone na isiwe taarifa okotezi..
 
Nasisitiza Hayati Magufuli......

1. Hukuwa Mpumbavu wa Kiasili
2. Hukuwa Muoga na Mnafiki
3. Hukuwa Mbabaishaji
4. Hukuwa Mtu wa Kupelekeshwa kama Zuzu
5. Hukulea Upuuzi na Uzembe
6. Ulipambana Kivitendo na Maadui wa Maendeleo
7. Hakukubali kushikiwa Akili zako na Mafisadi na Wapiga Dili wa Tanzania

Nimemaliza.
...Enzi Yako hakukuwa na Mgawo ! Alifanyaje ?

...Enzi yake Chakula' hakikupanda Bei ! Alifanyaje ?

....Mengine Jazieni...

Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom