Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,759
- 5,289
urafiki wa kupiga huu ni feki tu.
ni kweli, urafiki wa kwenye mitandao ya kijamii ni vyema kuwa makini sana, vinginevyo......!
sote humu JF ni marafiki au urafiki gani huo mwenzetu unauhitaji?
urafiki wa kupiga huu ni feki tu.
heeee pati fo?hmmm wizi mtupu
ushosti na wazungu ndio anaoongelea hapo huyo dj..
sote humu JF ni marafiki au urafiki gani huo mwenzetu unauhitaji?
vinginevyo wanakuibia kila kitu wanakuachia bunduki na bastola tu.