Wanaopost kumusu 'heslb'

jov

Senior Member
Aug 20, 2012
121
9
Jamani wana jukwaa ni bora kama huna kitu kipya ni bora usiandike post zisizo na maana kwani inakuwa kama kuwapotezea mda watu kusom post ambazo title zinakuwa za kuvutiaa lakini contents bure kabisa hasa katika swala ambalo ni la muhimu kwa watu kama 'heslb'
 
Tatizo nyie watoto mnakosa uvumilivu! Mlisumbua sana wakati matokeo ya form six, University posting hazijatoka! Just keep patience, kuna siku majina ya mikopo yatatoka. Mngelikuwa wa umri mkubwa ningesema mtajiletee presure bure! Mwambie mzee ajiandae tu!In case anapata mkopo basi hela itatumika kwa mambo mengine1
 
Back
Top Bottom