Wanaoleta vurugu za kidini wanadekezwa

Wahuni wachache hawataweza kufanya lolote... Ingekuwa Arusha ningetishika, but hakuna mtu asiyejua kuwa watu wa Dar ni waoga kuliko kunguru...

Hapo umenena kwani Arusha kwa kweli ingekuwa janga la taifa kwa huko pwani waiiii vibomu viwili tu watakuwa wmeshajifungia ndani hakuna hata haja ya jeshi mgambo wa Mwema wanatosha.
 
Labda na wewe tukuulize una Elimu ya kiwango gani? Mpaka uchukue jukumu la kuwatusi wenzako kuwa hawajasoma? Unapotoa mawazo yako kwa ujumla na kufuata kile ulichoaminishwa kuwa Waislam hawajasoma inakuwa si sawa sawa, wapo Waislam wasomi wazuri waliobobea katika fani zao pia wapo Waislam ambao hawajasoma halikadharika wapo Wakristo wasomi wazuri tu na wapo wakristo ambao hawajasoma kuchukulia jambo hili kwa ujumla jumla si sawa sawa ni kama tusi kwa Waislam wasomi.

Umenena vema mkuu, ndo tatizo la kutumia jazba hili
 
Ndugu zangu, hali ya Zanzibar si njema. Na huku Dar nako tunaambiwa kesho itakuwa balaa baada ya swala ya Ijumaa. Nashauri JWTZ wakae mkao wa kuoiokoa jamii isiyo na hatia katika kadhia hii.

Hiyo si kazi ya JW ila Polisi
 
Tumuombe mungu atuepushe na hayo ya kufikirika!Dhaifu anaendelea na kushangaa magorofa na misikit huko dunian!!!
 
Nyie shabikieni vurugu tu! Kitakacho kuja kutokea hakika hakuna atakaye itamani vurugu tena!!
 
Hi all, I am introducing myself as a new member of Jamii, pamoja tunaweza kufanya tanzania tuitakayo
 
Uko wapi ule msimamo wako wa kupambana na maadui watatu? UJINGA, UMASIKINI na MARADHI?
Umebaki kupambana na itikadi za Dini na Siasa!
Kuua waandishi kunakusaidia ewe Tanzania?
Kuchoma Makanisa/Misikiti kunakusaidia ewe Tanzania?
Kuua madaktari kunakusaidia ewe Tanzania?
Kuburuza walimu mahakamani kunakusaidia ewe Tanzania?

Ndugu yangu Tanzania umepotoka!
Unapigana vita visivyo akili!
Tazama upya maadui zako!
La sivyo, utabaki HISTORIA ewe Tanzania.
 
Hi all, I am introducing myself as a new member of Jamii, pamoja tunaweza kufanya tanzania tuitakayo
Karibu kupitia threah hii...Wewe ni sehemu ya mabadiliko.Fanya jukumu lako kulinda amani ya nchi.
 
CCM walikuwa wakisema Chadema kinahatarisha amani ya nchi ila sasa nashangaa wako kimia kuzungumza kuhusu Amani.
Hichi kigugumizi kinasababishwa na nini? Mikutano ya hadhara ya Chadema inapigwa mabom ya machozi na risasi za moto. Mihadhara ya kichochozi hakuna anayesogea si polisi na si mgambo wanaosogea. Hivi Rais wetu kweli unahitaji kushauriwa mambo ambayo unayaona kwa macho????? Sina Dini ila ustaarabu hauna dini, utu hauna dini

Ubaguzi utatutafuna But we shall overcome.
Great thinker
 
Back
Top Bottom