Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,015
- 95,378
Hivi hawa watu walijiteua wenyewe au waziri wa elimu alikuwa mchagga??Ukio, njau, lema, mosha chagas people.
Halafu wanakuja vijana waarusha wanasema watu wa kilimanjaro na arusha wababe wa mjini, matajiri, watoto wa mjini lakini ukiangalia vizur hao ni watu hatar kwa taifa hili.
Hivi hapo arusha technical hamna watu wengine mpaka wajae watu wa kabila moja kwenye bodi ya taasisi moja kama hivyo, au wanataka kutambika.
Huo ni moja ya mfano wa hao watu lakini ni taasisi nyingi sana za serikali hao watu wanamichezo ya kijinga kama hiyo.
Na watoto wao wanakuwa wa kwanza kuja hapa JF kuwasafisha hao ndugu zao.
Ninachoomba wizara husika ya elimu na mafunzo ya ufundi imulike ufisadi huo hapo Arusha Technical College kwa kusafisha huo uozo hapo chuo sababu hatuwezi kuwa na mipango ya kuendeleza nchi ikiwa kuna watu wanataka kuendesha taasisi za serikali kama mali ya ukoo au kabila flani.