Wanaolalamikiwa Bodi ya chuo cha ufundi Arusha hawa hapa

TUNDE

Senior Member
Apr 23, 2016
129
77
Nyahumwa.jpg Suzan.jpg Katebalirwe.jpg Lema.jpg Makileo.jpg Njau.png Ukio.jpg
Hawa ni wajumbe wa Bodi ya chuo cha Ufundi Arusha ambayo imelalamikiwa sana kwamba ilifumbia macho au nayo ilikuwa sehemu ya ufisadi mwingi uliofanywa na menejimenti ya chuo. Kuanzia kulia ni: Lyne Ukio, Karoli Njau, Hyacintha Makileo, Benedict Lema, Thomas Katebalirwe, Suzan Mosha na Christian Wambura Nyahumwa. Kimsingi Bodi hiyo kwa sasa haipo kisheria lakini bado inafanyakazi bila kufahamika msingi wa kuendelea kuwepo kwake

Kwa muda sasa kumekuwa na malalamiko ya matumizi mabaya ya madaraka na ufisadi wa kutisha uliofanywa na Menejimenti ya chuo kwa kushirikiana na wajumbe wa Bodi.

Imesemekana Mkuu wa chuo anatumia nguvu kubwa kuhakikisha wajumbe hawa wanaendelea kuwepo kwenye Bodi kwa lengo la kuendelea kukiteketeza chuo licha ya chuo kuwa na sheria mpya ambayo kimsingi inahitaji Bodi hiyo kuundwa upya.

Msingi wa kuundwa upaya kwa Bodi ya chuo licha ya tuhuma za ufisadi zinazoihusu Bodi hiyo ni kutokana na kuwa na muundo mpya wa Bodi kutoka na Baraza la Elimu ya Ufundi, NACTE. Sheria ya NACTE ndiyo iliyotumika kuanzisha Chuo cha Ufundi Arusha. Kadhalika, umuhimu wa kuunda upya Bodi ya chuo kunatokana na muda wa aliyekuwa M/Kiti wa Bodi hiyo Marehemu Abrahamu Nyanda kuitumikia Bodi hiyo kuisha, na hivyo kuwa hakuna Bodi kisheria.

Sababu nyingine ya kutakiwa Bodi hiyo kuundwa upya ni jinsi Bodi hiyo ilivyokuwa imeundwa hapo awali. Hapo kabla, Bodi ya chuo iliundwa bila kuzingatia maslahi ya Taifa na aliyependekeza wajumbe kwa mamlaka ya uteuzi aliangalia zaidi mambo binafsi na kuzingatia urafiki, undugu na kusoma pamoja ukilenga kupata maslahi binafsi zaidi ya Taifa.

Kumsaidia Mh Rais katika vita dhidi ya ufisadi, ni vyema mamlaka za uteuzi wa wajumbe wa Bodi za Mashirika na Taasisi za umma kuwa makini katika uteuzi wao. Ni vizuri wakakumbuka kuweka mbele utaifa, uzalendo, sifa za mjumbe, uwezo na uwakilishi kitaifa.

Sehemu zote za nchi zina watu wenye sifa zinazostahili, siyo kitu kizuri watu kufanya kazi ya Taifa kama ya familia kwa kuwa na watu wa aina moja na wenye nia moja hasa ya kulihujumu Taifa.
 
Suzan Mosha kwenye Bodi anajulikana kama Suzan Mnafe. Amedumu kwenye Bodi kwa misimu/vipindi vitatu mfululizo. Amedumu kwenye Bodi kwa miaka 8, pengine anacho kitu cha ziada kwa munufaa ya Bodi hiyo.
 
View attachment 350466 View attachment 350468 View attachment 350471 View attachment 350474 View attachment 350475 View attachment 350476 View attachment 350477
Hawa ni wajumbe wa iliyokuwa Bodi ya chuo cha Ufundi Arusha ambayo imelalamikiwa sana kwamba ilifumbia macho ufisadi mwingi uliofanywa na menejimenti ya chuo. Kuanzia kulia ni Ndugu: Ukio, Njau, Makileo, Lema, Katebalirwe, Suzan Mosha na Nyahumwa

Kwa muda sasa kumekuwa na malalamiko ya matumizi mabaya ya madaraka na ufisadi wa kutisha uliofanywa na Menejimenti ya chuo kwa kushirikiana na wajumbe wa Bodi.

Imesemekana Mkuu wa chuo anatumia nguvu kubwa kuhakikisha wajumbe hawa wanaendelea kuwepo kwenye Bodi kwa lengo la kuendelea kukiteketeza chuo licha ya chuo kuwa na sheria mpya ambayo kimsingi inahitaji Bodi hiyo kuundwa upya.

Msingi wa kuundwa upaya kwa Bodi ya chuo licha ya tuhuma za ufisadi zinazoihusu Bodi hiyo ni kutokana na kuwa na muundo mpya wa Bodi kutoka na Baraza la Elimu ya Ufundi, NACTE. Sheria ya NACTE ndiyo iliyotumika kuanzisha Chuo cha Ufundi Arusha. Kadhalika, umuhimu wa kuunda upya Bodi ya chuo kunatokana na muda wa aliyekuwa M/Kiti wa Bodi hiyo Marehemu Abrahamu Nyanda kuitumikia Bodi hiyo kuisha, na hivyo kuwa hakuna Bodi kisheria.

Sababu nyingine ya kutakiwa Bodi hiyo kuundwa upya ni jinsi Bodi hiyo ilivyokuwa imeundwa hapo awali. Kabla Bodi ya chuo iliundwa bila kuzingatia maslahi ya Taifa na aliyependekeza wajumbe kwa mamlaka ya uteuzi aliangalia zaidi urafiki, undugu na uhusiano mwingine unaofanana na huo ukilenga kupata maslahi binafsi.

Kumsaidia Mh Rais katika vita dhidi ya ufisadi, ni vyema mamlaka za uteuzi wa wajumbe wa Bodi za Mashirika na Taasisi za umma kuwa makini katika uteuzi wao.
Ukio, njau, lema, mosha chagas people.
Halafu wanakuja vijana waarusha wanasema watu wa kilimanjaro na arusha wababe wa mjini, matajiri, watoto wa mjini lakini ukiangalia vizur hao ni watu hatar kwa taifa hili.
Hivi hapo arusha technical hamna watu wengine mpaka wajae watu wa kabila moja kwenye bodi ya taasisi moja kama hivyo, au wanataka kutambika.
Huo ni moja ya mfano wa hao watu lakini ni taasisi nyingi sana za serikali hao watu wanamichezo ya kijinga kama hiyo.
Na watoto wao wanakuwa wa kwanza kuja hapa JF kuwasafisha hao ndugu zao.
Ninachoomba wizara husika ya elimu na mafunzo ya ufundi imulike ufisadi huo hapo Arusha Technical College kwa kusafisha huo uozo hapo chuo sababu hatuwezi kuwa na mipango ya kuendeleza nchi ikiwa kuna watu wanataka kuendesha taasisi za serikali kama mali ya ukoo au kabila flani.
 
Wewe ukome unahakika gani hii habari si majungu.Chuki zako kwa wachaga hazitakusaidia wewe kuwa tajiri.Utazidi kuwa mlevi mpaka kiama.Wenzako wanapiga hatua wewe endelea kula viwavi.
 
Wewe ukome unahakika gani hii habari si majungu.Chuki zako kwa wachaga hazitakusaidia wewe kuwa tajiri.Utazidi kuwa mlevi mpaka kiama.Wenzako wanapiga hatua wewe endelea kula viwavi.
Usianzishe ligi usiyoiweza kijana.
Na mnapoambiwa ukweli huwa mnachanganyikiwa sana nyie watu.
Hayo malalamiko hapo ATC hayajaanza leo.
 
View attachment 350466 View attachment 350468 View attachment 350471 View attachment 350474 View attachment 350475 View attachment 350476 View attachment 350477
Hawa ni wajumbe wa iliyokuwa Bodi ya chuo cha Ufundi Arusha ambayo imelalamikiwa sana kwamba ilifumbia macho ufisadi mwingi uliofanywa na menejimenti ya chuo. Kuanzia kulia ni Ndugu: Ukio, Njau, Makileo, Lema, Katebalirwe, Suzan Mosha na Nyahumwa
Hapo kwa ufafanuzi mzuri ni kwamba: Nyahumwa ni school mate, Lema licha ya kuwa home boy ni school mate pia na Suzy ni girlfriend.

Kungekuwa na ufanisi unaohitajika ni bora. Hiyo ilikuwa kama kamati ya ufundi wa kufanya ufisadi ukiratibiwa na Mkurugenzi Katebalirwe Wizarani. Waziri Kawambwa atakuwa hakuangalia detail zote hizo. Atakuwa alipotoshwa na wasaidizi wake, hasa Katebalirwe kwa manufaa yake na wote wanaohusika kwenye Bodi hiyo.

Walitafuna mali ya umma hasa, mpaka kufikia kiasi cha TZS 3,500,000,000/= si mchezo ni ulaji wa nguvu huo!
 
Kwani majungu yameanza leo unajitoa ufahamu ama.Acha unafki.
Kijana usianzishe ligi usiyoiweza,
na kama mzazi au ndugu yako yupo kwenye hiyo bodi unamtetea utakuwa hauwatendei haki watanzania ambao wanatafuta elimu bora hapo chuoni.
Haiwezekani kagenge ka watu wachache warudishe maendeleo nyuma ya elimu kwa malengo yao binafsi tena katika taasisi kubwa ya elimu kama hiyo.
Unatakiwa ujitambue kijana usipende kuwa na mawazo ya kizee.
Vijana wenzako wanalalamika mda mrefu kuhusu hizo kero hapo chuoni
 
Huyu Tunde nimchonganishi tu, unaposti picha za wenzako bila ridhaa yao, cyber crime mtafuteni huyu jamaa hawezi fanya mambo kienyeji namna hii.
 
Huyu Tunde nimchonganishi tu, unaposti picha za wenzako bila ridhaa yao, cyber crime mtafuteni huyu jamaa hawezi fanya mambo kienyeji namna hii.
Halafu anajiona mjanja kuweka picha za watu kuhalalisha majungu yake.
 
Back
Top Bottom