Thomas Katebalirwe akiwa mjumbe wa Bodi kwa nafasi yake kama Mkurugenzi wa Elimu ya Ufundi Wizarani, alihusika kwa nafasi kubwa kumpotosha Mh. Shukuru Kawambwa wakati akiwa Waziri wa Elimu kupitisha majina yaliyopendekezwa na Mkuu wa chuo kuwa wajumbe wa Bodi ya Chuo. Hicho ndicho kilichofanyika. Lengo lilikuwa moja, kwamba waweze kufanya ufisadi kama walivyoweza kufanya!Ambacho sielewi ni kuwa, hizi bodi zinaundwa na chuo au na wizara husika!
Najua bodi zote za chuo zonaundwa na wizara ili zisimamie chuo kwa niaba ya wizara husika, how come mkuu wa chuo aweke watu wake
Thomas Katenalirwe akiwa mjumbe wa Bodi kwa nafasi yake kama Mkurugenzi wa Elimu ya Ufundi Wizarani, alihusika kwa nafasi kubwa kumpotosha Mh. Shukuru Kawambwa wakati akiwa Waziri wa Elimu kupitisha majina yaliyopendekezwa na Mkuu wa chuo kuwa wajumbe wa Bodi ya Chuo. Hicho ndicho kilichofanyika kwa sababu zilizoainishwa hapo awali!
Kuna watu walifukuzwa kwa nidhamu sasa wanapambana ili mkuu wa chuo naye aondoke. VisasiArusha technical again.Kuna nini kwenye hichi Chuo.
Duh! hii ni kali, kufukuzwa kazi na ufisadi huu ni wapi na wapi? Hao waliofukuzwa walifanya ufisadi? Labda tuanzie hapoKuna watu walifukuzwa kwa nidhamu sasa wanapambana ili mkuu wa chuo naye aondoke. Visasi
Hivi ukipewa likizo ya kwenda kusoma na usiende kusoma huo si ufisadi?Duh! hii ni kali, kufukuzwa kazi na ufisadi huu ni wapi na wapi? Hao waliofukuzwa walifanya ufisadi? Labda tuanzie hapo
Iliwahi kusemwa na chama CCM kwamba alikuwa waziri mzigo, pengine mzigo kwake ni pale aliposhindwa kusimamia mambo katika wizara yake vizuri ikiwa ni pamoja na mambo kama haya.Kwa nnavomfahamu shukuru kawambwa, haikuwa rahisi kama unavoandika?!
Something is fishy here!!!
Hilo genge litakutana tena kugawana hela wiki ijayo tarehe 16 na 17 Machi 2016.
Hilo genge litakutana tena kugawana hela wiki ijayo tarehe 16 na 17 Machi 2016.
View attachment 352015 View attachment 352017 View attachment 352018 Kuna taarifa kwamba Dkt Primus Nkwera, Thomas Katebalirwe na Richard Masika Mushi walifikia hatua ya kufuta Sheria iliyopitishwa na Bunge kinyume cha sheria
Yaani suala ningekuwa authoritative wa sekta hiyo ningeifanyia kazi sasa hivi....hawa watu bado ni sumu kwa maendeleo ya nchi hiiUkio, njau, lema, mosha chagas people.
Halafu wanakuja vijana waarusha wanasema watu wa kilimanjaro na arusha wababe wa mjini, matajiri, watoto wa mjini lakini ukiangalia vizur hao ni watu hatar kwa taifa hili.
Hivi hapo arusha technical hamna watu wengine mpaka wajae watu wa kabila moja kwenye bodi ya taasisi moja kama hivyo, au wanataka kutambika.
Huo ni moja ya mfano wa hao watu lakini ni taasisi nyingi sana za serikali hao watu wanamichezo ya kijinga kama hiyo.
Na watoto wao wanakuwa wa kwanza kuja hapa JF kuwasafisha hao ndugu zao.
Ninachoomba wizara husika ya elimu na mafunzo ya ufundi imulike ufisadi huo hapo Arusha Technical College kwa kusafisha huo uozo hapo chuo sababu hatuwezi kuwa na mipango ya kuendeleza nchi ikiwa kuna watu wanataka kuendesha taasisi za serikali kama mali ya ukoo au kabila flani.
Ehehiyo ni bodi ya chuo au kamati ya wazee wa kimila wa kichaga?
Americans can't be minority in America.Duh! Mbona wa ukanda ule ni wengi hapo? Halafu kashfa nyingi za wizi nchini wamo,pamoja na wale akina nanihii wa ule ukanda wa Ziwa Victoria.
Ukiwa mchaga huna haki ya kuwa Mjumbe Wa Bodi? Mtakufa Na chuki kwa Wachaga. Wamalizeni kote msipowataka. Hata pale Muh2 nenda kawatoe wale walioko bcoz nako wamejaa.Wewe ukome unahakika gani hii habari si majungu.Chuki zako kwa wachaga hazitakusaidia wewe kuwa tajiri.Utazidi kuwa mlevi mpaka kiama.Wenzako wanapiga hatua wewe endelea kula viwavi.
Kuna ndugu watano wamebeba majina sawa waandamizi. Tena wa kuteuliwaHivi hawa wajumbe si wanateuliwa na Waziri? Kwani kabila moja watu kibao wakati hicho chuo ni cha kitaifa.