Wanaoiponda IFM ni wendawazimu!

..Hiv IFM kuwa na alumni wanaofanya kazi BoT na TRA ndo linakifanya kiwe kizuri? Hivi haviwezi kuwa vigezo vya kupima ubora wa chuo. Kwa kifupi, chuo chochote bora kinapimwa kwa kuangalia teknolojia-uzalishaji na utumiaji wa teknolojia, idadi na ubora wa machapisho, elimu ya wahadhiri (kwa ngazi ya chuo, wahadhiri wanapaswa kuwa professors-sio wenye masters), na ukubwa wa chuo (kwa maana ya majengo na ukubwa wa ardhi). Hii BoT iliyojaa watoto wa wakubwa haiwezi kuwa kipimo sahihi cha ubora wa IFM.
 
Mwoneeni huruma jamani. hebu angalieni mpaka ameamua kunzisha ID nyingine mpya ili atoe dukuduku lake. Post ya kwanza hata kamba miguuni hana? LOL

user-online.png
chamng

Today 15:02
#1
Junior MemberArray

Join Date : 21st August 2012
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0

[h=2][/h]

haiahahahah dah kwel hapa unaumbka live
 
nimeshaandika wosia mpaka wajukuu zangu wasisome pale. Maana nje ya nchi chuo hakitambuliki kile
 
Naona hapa watu mnajichanganya!Mnashindwa kutofautisha University na Institute.Katika institute zilizopo bongo basi IFM ni moja ya Institute bora lakini haiwezi kufikia ubora wa University (Namaanisha Public Universities siyo ward universities).
 
UDSM ,mwalimu nyerere ni siasa tu hamna kitu zaidi ya kujiona kama mpo juu sababu wanaoingia ni wazuri ila shida zetu nyingi zilisababishwa na viongozi wa nchi hii waliosoma UDSM ,
vyuo vyetu vidogo lkn vimeonyesha mabadiliko ya soko la biashara venginevyo napo tungekuwa maskin kupindukia kwa kuwafuata hao wana UDSM wanaopenda popularity ya kisiasa kama tulivyojionea miaka 50やya uhuru
 
jaman tujadili mambo ya msingi ambayo yatamjenga kila mtu masuala ya vyuo...sijui kipi bora,..kipi bogus tupige chini ..mwisho wa siku kila mtu na jiwe lake maisha yansonga na wasomi wanaongezeka nchni..kama vyuo vingeendelea kuwa SUA na UD ...tusingekuwa na wasomi kama tulionao sasa .....lazima tubadilike tufikiri kama wasomi
 
haijalishi ni chuo gani we soma ufaulu vizuri yan upate G.P.A ya ukweli,na hasa uwajibike vikamilifu ukiwa kazini,kamwe Mungu ham2pi mja wake maisha yatanyooka 2 hata vivid examples zipo katika jamii...prove people wrong ingawa walioshindikana duniani katika kuamini hawawezi kuisha.
 
dah ckujua kumbe kuna wapumbafu weng JF. JAMAN WENGINE MUWE MNAJIPANGA KABLA YA KUTOA MAWAZO YENU
 
How did you get the evidence that she offered herslf to be passed. Your contention is doubtful!

She is my X and I loved her a lot! Cwezi kuweka kila ki2 hadharani ambacho kinamhusu ila the thing hapened! I promissed to myself that I must revange oneday! Even afrer 10 years! Ila kuna rafiki zake kibao walifanya hivyo pia na wakafanikiwa! Sina chuki binafsi, ila ki ukweli, kile chuo kina uhuni mwingi sana japo siwezi kukielezea sana academically!
 
Ogopa Mungu! Usiue wala usilipize kisasi. Kama mkiristo Kristu hakuwa hivyo!
 
..Hiv IFM kuwa na alumni wanaofanya kazi BoT na TRA ndo linakifanya kiwe kizuri? Hivi haviwezi kuwa vigezo vya kupima ubora wa chuo. Kwa kifupi, chuo chochote bora kinapimwa kwa kuangalia teknolojia-uzalishaji na utumiaji wa teknolojia, idadi na ubora wa machapisho, elimu ya wahadhiri (kwa ngazi ya chuo, wahadhiri wanapaswa kuwa professors-sio wenye masters), na ukubwa wa chuo (kwa maana ya majengo na ukubwa wa ardhi). Hii BoT iliyojaa watoto wa wakubwa haiwezi kuwa kipimo sahihi cha ubora wa IFM.

jamani hichi kitu kinanishangaza sana kwa anayejua sheria za mitala ni sahii mwalimu mwenye master kuwa lecturer wa masters?na kusisimamia thesis.yani jamaa ni wabaishaji hata kufundisha hawawezi kozi zote za master wanalalamikia walimu waswahili wenye masters wao ni ubishoo tu
 
Nimesoma IFM ni chuo kizuri kwakweli kama umeenda kusoma.
Hivi yule alikyekuwa matron wenu ulipokuwa pale ndo mmiliki a hostel?nilimpeleka mdogo wangu hapo karibu ningemzzaba kofi,nasikia huyo mama ni balaa vyumba vya masters wanakaa watu wa nje ambao sio wanafunzi wanamlipa milioni 2 kwa mwaka na watoto wake 2 waliishi hostel bure ni kweli?
Na zile ofice za walimu mbona zina mapanya sana
 
ifm ni chuo kizuli sana kutokana sababu zifuatao
1.watu wote waliofeli kinawachukua mpaka zero unasoma degree through mature entry
2.serikali ilikiweka maluum kwa wasanii waliokosa nafasi ya kusoma udsm wakaendelee pale
3.wauaza sura pale ndio maala pake........
 
dah kazi kweli kweli
 
he he he!,kipindi cha paper IFM masistaduu wote wanapotea posta...yan posta utakuta kimyaaa.
 
Back
Top Bottom