Wanaohitaji kujiunga na Freemason

NEW NOEL

JF-Expert Member
May 21, 2011
863
407
552070_377760568961165_817557693_n.jpg
Kweli mjini kuna mambo....Daktari huyo anakila aina ya tiba mpaka kujiunga na freemason
 
Hawa si ndio matapeli wa town...mimi bado najiuliza hivi inamaana hii slogani ya freemason imeshika akili za wabongo kiasi hichi kweli. yaani sasa hivi mtu akipata mkosi anasema ni freemason. Watu siku hizi wala hawautaji uchawi tena.
 
Hivi SiriKali iko wapi mpaka watu wanatapeli live namna hii?

It is too much!
 
Awe na kibali au asiwe nacho, kama sio serikali pekee ni nani mwenye mamlaka ya kumuadibisha? maana ni utapel wa waz waz kabisa na naamin kati yetu uelewa wao ni mdogo lazma wataingia king tu
 
Ndio. Inahitaji serikali kuwafungia vibali vya uganga..

kwenda kwa waganga nayo ni imani kama ilivyo watu wengine kwenye imani zao, hawa masons nao kunaimani, je? wafungiwe vibali hawa wanaoanzisha nyumba za ibada ati wana waokoa watu hali ya kuwa ukitazama kwa undani sana ni wanazidi kuwatia watu umasikini kwa kuwachukulia hata icho kidogo walicho nacho! why sisi raia wenyewe tusiache kwenda jkwa hao waganga, na kama magonjwa twende hospitali na madawa ya miti asili, why twende ufreemanson haliyakuwa tunaimani za dini zinazoeleweka, serikali ikukataze wewe kujiunga na ufreemanson kwa kuwafungia vibali watu ili iweje/ hali yakuwa ndo imani yako hiko huko! sijaona saabu ya govt kuingizwa hapo!

kwa hli ni commitment yetu kwenye imani zetu ndo linahitajika, sasa unaamini vipi huyu mtu anashindwa kukuunga na ufreemanson?
 
Ikibainika wanawaibia watu basi nao wachukuliwe hatua....ni wizi kama mwingine...
 
Ikibainika wanawaibia watu basi nao wachukuliwe hatua....ni wizi kama mwingine...

sasa huyu wewe unauhakika gani anawaibia watu! je? yeye hana haki yakuwa freemanson na kuwaunga wenzake. freemanson iko kila sehemu kama mitandao ya simu na mabank, ivyo kuna wale wanaojinga na xtrem ya 450 kwa siku, na kuna wanaojiunga unlimited ya mwezi. ivo kuna watu wenye nyazifa zao wanajiunga kupitia madon wa kefreemanson na pia hata watu wa vijijini ndanindani wanahaki na wa uswazi ndo wanaweza kupitia kwa maagent wao hawa.
 
Back
Top Bottom