Kamuulize makonda au jiwe kule chato kama utaweza maana wao ndio wataalamu wa hizo Mambo.Uhuru wa maoni una mipaka! Tuutumie vizuri kwa mambo ya kujenga nchi. 🙏🙏🙏Tumuulize boss wao Dr Sa100.
Kamuulize makonda au jiwe kule chato kama utaweza maana wao ndio wataalamu wa hizo Mambo.Uhuru wa maoni una mipaka! Tuutumie vizuri kwa mambo ya kujenga nchi. 🙏🙏🙏Tumuulize boss wao Dr Sa100.
Argument yako unavyoileta, inaonekana ni low IQ.Lete ushahidi vinginevyo wewe nawe utakuwa huna akili pia.
Umewaelezea vizuri sana hao mbwa.Criminology trait
1.Narcist ni wale Mbwa wanaojijali wao na wako aggressive ukiwapinga kwa chochote...
Argument yako unavyoileta, inaonekana ni low IQ.
Delinquents and killers average IQ scores 8 to 10 points lower than good people, which is about one-half a standard deviation. IQ and killing or criminal behavior are negatively correlated at about r = -.20
Hahaaa! Hatari sana!Usisahau na wale wanaovaa suti kwenda kukata Umeme
Umesema ukweli, tofauti na mataifa uliyoyataja huwa wana Idara ndani ya Idara ambayo kazi yake ni kufanya counter check kama yanayofanya na Idara wakati wa operations zake hayana uonevu na yamepata kibali cha mamlaka ya juu kwa masrahi ya Taifa, kimsingi huwa ni kitengo kinacho audit ooerations za idara.Mara nyingi kitengo ndani ya kitengo u operate kati ya Deputy DG na president wa nchi, mfano ni KIDDON ndani ya Mossad. Hapa hakuna. Nafikiri tunahitaji kurekebishaNchi zote duniani,utawala wa nchi hufanya haya mambo...iwe us,China,Russia,UK,Israel,Kenya nk
Haya mambo hutokea....ni kawaida tu
Ova
Roho ya panya.. hajui kazi yake.. risasi zote zile hakuna iliyoenda kifuani, tumboni, kichwani? Hajui kaziKwa mfano aliyemimina risasi kwa lissu ana roho ya aina gani?
Kazi zote zinazohusu "kitengo" qualifications zake ni siri ya recruiters ndo maana huwa hazitangazwi, wakikufanyia surveillance wakiona unafaa watakufata wenyewe tuKwa mwenye kujua, hivi watu wanaofanya hii kazi ya kikatili wanakuwa na sifa gani za kupewa hii kazi ndani ya Kitengo?
Kama ni vibarua, Je, hununuliwa vitu kama bangi waweze kuifanya hiyo kazi pasipo kujali wanachokiofanya?
Au watu wakishapata ajira, baadhi yao hupangiwa hii kazi wapende wasipende?
Na je, hii kazi ina mafunzo maalumu na ambayo yanapatikana nje ya nchi?
Au wanaofanya hii kazi ni watu wenye historia ya uhalifu na ambao ndio hupewa hii ajira?
Yaani unaweza kuwa unatoka nyumbani umetinga kaunda suti halafu kazi yako ikawa ni ya kupoteza watu au kusimamia operration/tukio la mtu kupotezwa na kisha siku ya ibada unaenda kuabudu?
Yataka moyo na ni bora kufanya kazi mochwari kuliko kuwa ndani ya hiki kitengo.
si wote kitengoni wanafanya kazi hiyo. na si wote unaowaona ni binadamu wenye dna ya adamu. wegine wana dna ya ibilisi- half man half demon. hao ndiyo hata akiwa kitengoni haoni shida kuua kama kaini alivyomuua habili na hakukiri kuwa amekosa.Kwa mwenye kujua, hivi watu wanaofanya hii kazi ya kikatili wanakuwa na sifa gani za kupewa hii kazi ndani ya Kitengo?
Kama ni vibarua, Je, hununuliwa vitu kama bangi waweze kuifanya hiyo kazi pasipo kujali wanachokiofanya?
Au watu wakishapata ajira, baadhi yao hupangiwa hii kazi wapende wasipende?
Na je, hii kazi ina mafunzo maalumu na ambayo yanapatikana nje ya nchi?
Au wanaofanya hii kazi ni watu wenye historia ya uhalifu na ambao ndio hupewa hii ajira?
Yaani unaweza kuwa unatoka nyumbani umetinga kaunda suti halafu kazi yako ikawa ni ya kupoteza watu au kusimamia operration/tukio la mtu kupotezwa na kisha siku ya ibada unaenda kuabudu?
Yataka moyo na ni bora kufanya kazi mochwari kuliko kuwa ndani ya hiki kitengo.
Hivi vitengo vipo na vinatambulika na dola ila ni siri sana hata uko kwenye dola utakuta labda wanajulikana a na watu wawili au watatu tu.. ni kweli sometimes inalazimu watu wachache wapotezwe kwa usalama wa taifa zima tatizo tu ni kama hicho kitengo kitakua na watu waliotanguliza masilahi yao mbele ya taifa ndio inawezekana wakawapoint maadui zao binafsi tu au wale wasiowapendaSio kawaida, ni uhalifu tu.
Waliopewa ile kazi walikua wazembe sana sidhani kama watakua hai mpaka leo hii maana hii kazi mission isopokua accomplished inabidi wahusika wauliwe kutunza siri., hivi walishindwa hata kumtegesha sniper mmoja sehemu nzuri jamaa akishuka tu kwenye gari anapiga ya kichwa kazi imeishaRoho ya panya.. hajui kazi yake.. risasi zote zile hakuna iliyoenda kifuani, tumboni, kichwani? Hajui kazi
HahahahaUsisahau na wale wanaovaa suti kwenda kukata Umeme
Unaweza ukakuta hata uyo mwenyewe awajui., hivi vitengo vinakuaga siri sanaTumuulize boss wao Dr Sa100.
Kwa mwenye kujua, hivi watu wanaofanya hii kazi ya kikatili wanakuwa na sifa gani za kupewa hii kazi ndani ya Kitengo?
Kama ni vibarua, Je, hununuliwa vitu kama bangi waweze kuifanya hiyo kazi pasipo kujali wanachokiofanya?
Au watu wakishapata ajira, baadhi yao hupangiwa hii kazi wapende wasipende?
Na je, hii kazi ina mafunzo maalumu na ambayo yanapatikana nje ya nchi?
Au wanaofanya hii kazi ni watu wenye historia ya uhalifu na ambao ndio hupewa hii ajira?
Yaani unaweza kuwa unatoka nyumbani umetinga kaunda suti halafu kazi yako ikawa ni ya kupoteza watu au kusimamia operration/tukio la mtu kupotezwa na kisha siku ya ibada unaenda kuabudu?
Yataka moyo na ni bora kufanya kazi mochwari kuliko kuwa ndani ya hiki kitengo.
Kuna kitu nakigiundua hapa, ila stasema kwa sasa.