Wanamuziki wa nigeria....

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,110
115,899
Sasa hivi africa nzima wanamuziki wa nigeria
wanatamba.....
Sasa mimi huwa najiuliza hivi kwa nini hawatambi dunia nzima?????
I mean sijawahi sikia labda p square ft snoop hivi
au j martin ft beyonce....

Nini kinachowafanya wasitambe duniani?
Mbona wajamaica wanaweza?????
Wanaigeria wanashindwa vipi?
Sijawahi sikia wako kwenye chart ya bilboard hivi...

Au wanakubalika us na europe labda lakini mimi sijasikia...
 
Kwa sababu wale jamaa ni matapeli wa kutupwa. Hawana jipya nje ya afrika. Pili, huko kwingine hawapendwi. Kila taifa linawaogopa na kuwakimbia. Si ajabu hata products zao za kisanii kama mziki watu wanakuwa hawana hamu nao. Ukimchukia mtu unachukia na kila kitu chake. Ndo kanuni mkuu.
 
inawezekana haya usemayo ni ya kweli Babuyao
 
jamaa wanafunika mbaya sema wewe hufuatilii.kaangalie machanel ya nje ya muziki utawaona hao p s wanavyotamba.na vilevile kipimo cha kupedwa si lazima upige na 50 au jz.ipo miziki inatamba huko india lakini hawajashirikiswa na waamerika.kwani hao waamerika ni kina nani?kwa hiyo unataka kusema fally alipomshirikishayule mmarekani ndio kipimo cha kukubalika kwa ndombolo huko juu?
 
Sasa hivi africa nzima wanamuziki wa nigeria
wanatamba.....
Sasa mimi huwa najiuliza hivi kwa nini hawatambi dunia nzima?????
I mean sijawahi sikia labda p square ft snoop hivi
au j martin ft beyonce....

Nini kinachowafanya wasitambe duniani?
Mbona wajamaica wanaweza?????
Wanaigeria wanashindwa vipi?
Sijawahi sikia wako kwenye chart ya bilboard hivi...

Au wanakubalika us na europe labda lakini mimi sijasikia...
Sasa ndg yangu mbona hujauliza watz wangapi wanatamba Afrika mashariki au afrika unawaulizia wanigeria tu?? tupe sababu ya kufikiria hivyo.
pili wameshakuja bongo na nchi zingine za afrika na hii ni hatua kubwa tu. kama ulifuatilia BET awards za mwaka huu nakumbuka walikuwepo pia ktk moja ya kategori zao, sasa cjui kukubalika gani tena unaotaka wewe???
Mwisho ni kwamba miziki ya kimarekani na jamaica na waUk kwa kiasi fulani zina mielekeo inayofanana japo siyo yote na wanamuziki wengi wa jamaica wanafanyia shughuli zao UK au US ambapo ndipo wana washabiki wengi.
 
Sasa hivi africa nzima wanamuziki wa nigeria
wanatamba.....
Sasa mimi huwa najiuliza hivi kwa nini hawatambi dunia nzima?????
I mean sijawahi sikia labda p square ft snoop hivi
au j martin ft beyonce....

Nini kinachowafanya wasitambe duniani?
Mbona wajamaica wanaweza?????
Wanaigeria wanashindwa vipi?
Sijawahi sikia wako kwenye chart ya bilboard hivi...

Au wanakubalika us na europe labda lakini mimi sijasikia...

Unamjua Wale?

Sade ni nusu Mnaija pia....

YouTube - Wale - Pretty Girls ft. Gucci Mane, Weensey Of Backyard Band
 
Walikuwepo Osibisa katika miaka ya sabini walikuwa wanatamba sana kimataifa.

Everybody do what do you do e, smile will bring a sunshine day - munakumbuka hii vijana wa zamani?
 
Kwa sababu wale jamaa ni matapeli wa kutupwa. Hawana jipya nje ya afrika. Pili, huko kwingine hawapendwi. Kila taifa linawaogopa na kuwakimbia. Si ajabu hata products zao za kisanii kama mziki watu wanakuwa hawana hamu nao. Ukimchukia mtu unachukia na kila kitu chake. Ndo kanuni mkuu.

matapeli for sure......alafu nafikiri watashindwana lugha bkwenye mziki.... lugha yao ile ya pidgin itakuwa tabu kufanya featuring na kina Beyonce, P.Diddy na wengineo

angalia mf. wa Nigerian Pidgin English
Wetin dey happen - What is happening?
Hin say make we dey go - he said we should go
I no no, Me no no - I don't know
You no say di people dem for dat side don wiked pass - do you know that those people are very wicked
Make we show for dia - Let us meet there
Una go, no dey come ma house again - you lot should go away and never return to my house
I go woze you finish - I will slap you silly; I will hurt you
You say wetin - what did you say

.............................................
 
ningumu kutamba kwa wanamuziki wa nnchi nyingi tu,kama unazungumzia USA kama haupigi muziki wanaopiga wao sahau kupata huo umaarufu unaosema,pia wanalinda sana soko la wanamuziki wao nikazi sana kupenyeza kazi za nje
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom