WanaMbeya tujiulize who is next

Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,372
2,375
Inaweza kuwa kama coincidence lakini pia ina mantiki.... Alianza mzee mmoja cjui mwaikambo alitaka kuingia upinzani,akapata ajali pale upanga jamatini kbla usiku kabla hajatangaza maamuzi mapya kesho yake
Mwandosya....
Mwakyembe....
Ulimboka....
It sounds weirdy when it come into mentioning tribalism, but cant keep silent as far as HAKUNA KESI MAHAKAMANI italayozuia tusijadili hili.mama Kiroboto nadhani tupo pamoja nimeeleweka
 
Lakini haikuwa John Mwakipesile former RC wa Mbeya? Inaelezekaje hii jamani?There must be some conspiracy somewhere!!
 
Some trust they money and power,but we will trust the power of our Lord Jesus.Yes they will kill us, but they will not know the meaning of peace for ever
 
Lakini haikuwa John Mwakipesile former RC wa Mbeya? Inaelezekaje hii jamani?There must be some conspiracy somewhere!!
Kuna kitu kipo toka 2006... Jk alivisit mbeya after 1 year in his presidency chair
 
Some trust they money and power,but we will trust the power of our Lord Jesus.Yes they will kill us, but they will not know the meaning of peace for ever
Malipo yote ni hapa duniani
 
labda nanihii yule MUASISI WA HIP HOP
Wameshamfuata kitambo inaelekea wanamuogopa.sukuma,kyusa,haya and chaga are strong tribes...na kuna impact kwenye vijimambo kam hivi ktk mustakabali wa oNe natioN
 
Inaweza kuwa kama coincidence lakini pia ina mantiki.... Alianza mzee mmoja cjui mwaikambo alitaka kuingia upinzani,akapata ajali pale upanga jamatini kbla usiku kabla hajatangaza maamuzi mapya kesho yake
Mwandosya....
Mwakyembe....
Ulimboka....
It sounds weirdy when it come into mentioning tribalism, but cant keep silent as far as HAKUNA KESI MAHAKAMANI italayozuia tusijadili hili.mama Kiroboto nadhani tupo pamoja nimeeleweka

Dah... kiongozi naona watu wa Mbeya mna roho strong kama ya paka, nini siri? Mnakula chakula gani hadi muwe na kinga resistance kubwa hivyo?
 
Kwanza na-declare interest kama mwanaMbeya. Naomba nisikitike kwa kukujulisha kuwa mtazamo na mawazo uliyonayo; yako chini mno cha kiwango cha juu sana cha kufikiri/ uelewa walionao watu kutoka Mbeya. Kwanza Mbeya watu wamesoma vizuri sana hivyo kuwafanya kuwa watu wenye akili sana. Mtu wa aina yako ni aghalabu kumkuta Mbeya labda wewe ni damu mchanganyiko. Matukio hayo/ajali hizo ulizozi-cite zimewakuta watu wa makabila mbalimbali hapa nchini. Acha kabisa hilo jaribio la kutufanya watu wa Mbeya tuwe wanyonge kwenye nchi yetu. Sisi ni raia tunaoheshimiwa kama wengine na mchango wetu unatambulika. Be informed.
 
Maswali ya kijinga kama haya uwe unajiuliza peke yako. Sisi wanaMbeya tuna uwelewa mkubwa sana. Usituharibe wasifu wetu

Dah... kiongozi naona watu wa Mbeya mna roho strong kama ya paka, nini siri? Mnakula chakula gani hadi muwe na kinga resistance kubwa hivyo?
 
Back
Top Bottom