WanaMbeya tujiulize who is next

Maswali ya kijinga kama haya uwe unajiuliza peke yako. Sisi wanaMbeya tuna uwelewa mkubwa sana. Usituharibe wasifu wetu


Kingengame, nilimuuliza aliyeanzisha thread na alinijibu kwa ustaarab kabisa jana hiyo hiyo. Sijui ni kitu gani kimekusukuma uandike ulichoandika, na kama ni maswali ya kijinga kwanini umejibu? Kwanini umejihusisha na maswali ya kijinga? What does that say about you and your thinking? clever?
 
Wanahaha sasa hivi maana naona wanazidi kujichimbia kwenye kona. Wakikufanyizia leo kesho wanakuja kukuona na kukupa pole. Mi sijapata ona
 
Naona kuna kitu juu ya wanyakyusa tuu na sio suala la Mbeya!
Latest move ya kuwamaliza akina Mwandosya na Mwakyembe imedhihirisha ilo!Na sasa ni Ulimboka!
Does that mean to silence all the extremist from the southern highlands notably the Nyakyusa!
Nchi ili iende lazima kuwe na changamoto za apa na pale!
 
Umeongea ukweli bali wanaokuponda ni jamaa wa propaganda kudhofisha hoja yako.

Umesite waathilika kwa majina, kwanin wasikanushe kwanza? Ukweli unauma.
 
Back
Top Bottom